Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Basi usiogope... weka watu wajione watakaempenda au japo toa ka id cha insta watu wakupigie misere uko. mambo za blind date zinaumiza kisaikolojia..... 😛
Weee... insta ID yangu sithubutu japo iko private.
 
Ukimpenda mtu huo ufupi, hana hela sijui takataka gani huwezi kuziona. Unaweza muona mwanume wako mzuri kumbe wenzio wanamuona wa ajabu.
Ni kweli yani...upendo hushinda vyote kasoro kukosa hela tu!
 
Nashukuru ila mie kwangu ndoa nii majaliwa, siwezi kuiwaza ndoa wakati hata ambae nitamaliza nae maisha yangu sina, ikitokea ndoa kheri ila nataka nianze na stage ya chini sitaki kukurupuka. Bora tuishie kwenye urafiki au uchumba lakini si kuingia kwenye ndoa sababu tu nampenda mtu. Niko tayari hata kuolewa ba miaka 40 ila nimpate nitakaempenda. Sijakata tamaa ya maisha bado kuwa na mwanaume ili tu niolewe. Asante kwa maneno yako lakini
Mmh kazi ipo kumbe
 
Kama ni kweli since 2015 hauna boy friend bas kuna mawili,either unachagua sana or hauna shape ya kuvutia maana wanaume tunasaka watoto wazuri kila kona ya dslam iweje ww muda wote usipate wakati unaitaji?
 
Hapana sio kujilipua mtu akikupenda jipe muda wa kumchunguza je ataendana na wewe kama ataendana na wewe ndio ukubali kupendwa na sio kila unaempenda wewe atakuwa ndio mwenyewe hizo nazo ni bahati nasibu

Na mara nyingi yule usiempenda wewe ndio anakuwa mwenyewe kabisa
Hawa wadada wataendelea tu kuachwa kwenye mataa kama wataendelea hii tabia yao ya kubishana na reality. Tunawapa ushauri wa rule of the game eti wao wanasikiliza moyo unataka nini, hahaaaa akyanani
 
Back
Top Bottom