I guess hukumchagua mwenyewe huyo wa kujifunza kumpendaNimeolewa kwenye ndoa ya kujifunza kupenda nayajua mateso yake, usijaribu, nenda polepole utapata hitaji lako mama, all the best
Nyie brokenhearth asiyewajua ndiye anaweza kujitwika kwenu..!Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
YapI guess hukumchagua mwenyewe huyo wa kujifunza kumpenda
Ulishawahi kujiuliza why walifundishwa hivyo?Kujifunza kupenda ilikuaga zamani kwa wazazi wetu sababu walifundishwa hivyo. Tupendane kwanza huku uraiani ili tukiingia kifungoni iwe rahisi kuvumiliana.
Basi kama uvumilivu hauna jioee mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si unajua uvumilivu nao una mwisho?
Bado mitatu tu uwe pre- menopausal!!27Yrs... mhenga kidogo
Nipende mimi mamaa ila sipoo darMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Kubali madhaifu ya yeyote atakaye kuvutia utashi Kwa Amani SanaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Mekuelewa uvumilivu muhim pia, ila msizidishe bwana ndo umekutana na mtu ambaye ukilala nae tu haoni umuhimu wa kubembeleza tena si ndo unaanza kuapa sitaki tena wanaume Mara hawajui kubembeleza na vitu vingi kama ivoJamani hakuna aliemkamilifu ila tunavumiliana tu mapungufu yetu.
Kwema kabisa mkwe wangu.Nipo mzaa chema, kwema lakini
Haya.Haya basi endeleeni kupenda wasiowapenda, teh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli yani...upendo hushinda vyote kasoro kukosa hela tu!
Mimi nakuja bila shaka nitakuvutia maana naamini nastahili mapenzi yako.Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hapo lazima uimbe na daimond tu haleluyaaaaa..!!! Utakula za uso mpaka ujute kuzaliwa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe umenifanya nicheke kwa nguvu jamani, kwahiyo kukosa pesa ndio kubwa zaidi.
Kwani kupenda au kupendwa kukoje kwani na utamjuwaje kama ukweri anakupendaSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo