Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Nyie brokenhearth asiyewajua ndiye anaweza kujitwika kwenu..!

Huwa mnajifanya mnaishi mbinguni mkisahau imperfectness zenu na za wenzio wabeba vinyongo na visasi..! Kiukweli Mungu aniepushie nyie viumbe wa hivyo..
 
Kujifunza kupenda ilikuaga zamani kwa wazazi wetu sababu walifundishwa hivyo. Tupendane kwanza huku uraiani ili tukiingia kifungoni iwe rahisi kuvumiliana.
Ulishawahi kujiuliza why walifundishwa hivyo?

But for ur information, mzani wa mapenzi haujawahi kubalance linapokuja suala la kupendana, especially at the first time. One loves more, and on the way the other one learns to love to balance the equation.
 
Wenye sifa uzipendazo wengi wetu ndio tushaoaa,
Kama waweza kua wa pili, nipm kuna jambo hapa tushirikishane.
 
Pole sana.

Ila mi siamini ktk kumpenda mtu ulieonana nae kwa mara ya kwanza. Mapenzi huchochewa na kukuzwa hayaibuki tu ghafla! Hiyo ni 'crush' unayopata na sio kupenda so unaweza kuwa ktk mahusiano yako mengi unahisi umempenda huyo jamaa kumbe ni 'crush' tu ambayo hufa baada ya muda fulani. Nadhani unatakiwa kujifunza tofauti ya hivyo vitu kwanza ndo uendelee.

Kila la heri..
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Nipende mimi mamaa ila sipoo dar
 
Kubali madhaifu ya yeyote atakaye kuvutia utashi Kwa Amani Sana
 
Jamani hakuna aliemkamilifu ila tunavumiliana tu mapungufu yetu.
Mekuelewa uvumilivu muhim pia, ila msizidishe bwana ndo umekutana na mtu ambaye ukilala nae tu haoni umuhimu wa kubembeleza tena si ndo unaanza kuapa sitaki tena wanaume Mara hawajui kubembeleza na vitu vingi kama ivo
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Mimi nakuja bila shaka nitakuvutia maana naamini nastahili mapenzi yako.

Ila tu uwe tayar kuruhusu moyo wako ili nikuponye jeraha lako linalokusumbua....

Sio sababu ukurasa mmoja wakitabu umechapwa kimakosa ,,Basi naww uamue kutupa kitabu kizima...hapana ,,unatoa iyo karatasi ,,kisha unaendelea kujisomea kitabu chako ,,namwisho unakuja kucheka .

Kilio chenye kicheko.
 
Love is tears,fairy tale,Long waiting hours,betrayal, a hole in the heart and a pain in the ass!
 
tatizo ushasema ulimpenda mwanaume mmoja tu hapa duniani sasa dada hata tukiyajenga mbona hayatadumu?
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Kwani kupenda au kupendwa kukoje kwani na utamjuwaje kama ukweri anakupenda
 
Back
Top Bottom