Hapana mkwe, kuna wanawake wako vyema kabisa ktk kuwasupport wenzi wao ktk shida na raha trust me. Ila pia sikatai wa aina hiyo uloongelea pia wapo.Hapo lazima uimbe na daimond tu haleluyaaaaa..!!! Utakula za uso mpaka ujute kuzaliwa!!!
Mapenzi pesa tu baasi mambo mengine ni porojo uwongo ???? sema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe umenifanya nicheke kwa nguvu jamani, kwahiyo kukosa pesa ndio kubwa zaidi.
Hahahaaaäa!! Unanitega eeeh!!Mapenzi pesa tu baasi mambo mengine ni porojo uwongo ???? sema
Niko hapa kama uko serious twende pm mm cyo wa huko dar hakuna kinachoshindikanaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Ila ubaya ni kuwa hao wa aina ya kwanza kuwapata kwa tochi hasa hapa mjini! Utaigiziwa tu ila uhalisia lazma uji reveal baada ya lust kuisha.Hapana mkwe, kuna wanawake wako vyema kabisa ktk kuwasupport wenzi wao ktk shida na raha trust me. Ila pia sikatai wa aina hiyo uloongelea pia wapo.
Wewe unaona mapenzi ni kubembelezwa tu basi. Ajabu kabisa hii!Mekuelewa uvumilivu muhim pia, ila msizidishe bwana ndo umekutana na mtu ambaye ukilala nae tu haoni umuhimu wa kubembeleza tena si ndo unaanza kuapa sitaki tena wanaume Mara hawajui kubembeleza na vitu vingi kama ivo
Wapo sana, ila hamuwataki. Hao wa kuwakimbia mkifulia ndio mnawalilia.Ila ubaya ni kuwa hao wa aina ya kwanza kuwapata kwa tochi hasa hapa mjini! Utaigiziwa tu ila uhalisia lazma uji reveal baada ya lust kuisha.
Hahahahaha sasa tatizo ndio kama la mtoa thread tayari kshafanywa incubator. Hapo unajihifadhi vipi?Wapo sana, ila hamuwataki. Hao wa kuwakimbia mkifulia ndio mnawalilia.
Wewe chapa kaziii!!!Mimi je?
Uko wapi?Asante mpenzi.. natamani atokee hata kesho
Kuwa kwakwe na mtoto hakuondoi ubinadamu wake hata kidogo. Aliteleza lkn ktk kuteleza huko akajipatia zawadi ya kamalaika kasiko na hatia. Kama ana vigezo vya mwanamke unayemtaka unajivutia tu jiko lako. Ni vile hamjui tu, hawa wenye watoto tayari huwa wanalazimishwa kukua na maisha. Hivyo huwa wanajitambua sana na wakipata mwanaume anayejielewa pia wanakuwa wake wazuri sana.Hahahahaha sasa tatizo ndio kama la mtoa thread tayari kshafanywa incubator. Hapo unajihifadhi vipi?
Endelea kusubir muda utaongea. Ila katika kusubiri huko omba mungu usije ukampata utakayempenda ww alafu yeye akupendi. Ndio utajua kuwa hata singeli za kihindi zipo pia n'a zinachezekaaa.Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.