Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

tatizo ni wewe mwenyewe bado umemng'ang'ania huyo aliechukuliwa na hujapata kama yeye...
Pengine unatafuta mwenye sifa kopi na kupasti kama za huyo aliechukuliwa na hapo ndio penye tatizo maana bado moyo wako hujapona na hujamwachilia huyo ex boy wako.
kwa staili kama hio usitegemee kumpata mpenzi hivi karibuni. kwa kifupi ni bury ua past kabisa n open ua mind n heart for th near future...
Akitokea mwanaume mwenye vi element vya taste yako ebu mpe nafasi maana sio lazima uanze kwa kumpenda lakini kitendo cha kumpa nafasi kadri siku ziedavyo anaweza akamubadili na kuanza kuenjoy penzi lake ila step by step.
 
Hivi kuna watu hadi leo wanachaguliwa mume/mke? Najua unaweza kulengeshwa ila kujua anakufaa au hakufai ni juu yako.
Mtu utakaeishi nae ktk ndoa ni fumbo mkuu, haya mambo ni Mungu tu anaejua nani ni ubavu wako
 
Hauwezi kugoma kama umemchagua mwenyewe bana. Ujue simaanishi ile ya kuchaguliwa, kama ya kapeace
Naomba utambue hii kitu ni probability hata kama utamchagua mwenyewe. Speaking out of experience.
 
Sure mkuu, yaani hadi nawaonea huruma wanavyoingizana chaka
Hao hao wazazi wetu walokuwa wanachaguliwa sio wote walipenda at the end, ila waliridhika tu kwakuwa hawakuwa na namna. Kuna tofauti ya kupenda na kuridhika. Ktk kuridhika huko waweza jikuta unapenda au uishie kuridhika tu.
 
Hao hao wazazi wetu walokuwa wanachaguliwa sio wote walipenda ata the end, ila waliridhika tu kwakuwa hawakuwa na namna. Kuna tofauti ya kupenda na kuridhika. Ktk kuridhika huko waweza jikuta unapenda au uishie kuridhika tu.
Umeongea ukweli asante sana
 
Mtu utakaeishi nae ktk ndoa ni fumbo mkuu, haya mambo ni Mungu tu anaejua nani ni ubavu wako
Hii ina uhusiano wowote na mimi kuuliza hadi leo kuna mtu wazazi wanamchagulia mume/mke?
 
Hao hao wazazi wetu walokuwa wanachaguliwa sio wote walipenda at the end, ila waliridhika tu kwakuwa hawakuwa na namna. Kuna tofauti ya kupenda na kuridhika. Ktk kuridhika huko waweza jikuta unapenda au uishie kuridhika tu.
Mara nyingi ukiridhika maisha yanakuwa mswano hata kitambi kinakuja tu!
 
Hii ina uhusiano wowote na mimi kuuliza hadi leo kuna mtu wazazi wanamchagulia mume/mke?
Ndio vina uhusiano, Bado ipo japo si sana, ndo nikakwambia hivi haya mambo ni fumbo hujui ubavu wako utaupatia kona ipi, ww mwenyewe au kwa kutafutiwa na mtu
 
Naomba utambue hii kitu ni probability hata kama utamchagua mwenyewe. Speaking out of experience.
Mmh haya

Ujue kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi ndo waoaji na tunawaambia the reality, then nyie waolewaji hamtaki kukubali hiyo reality. Basi ikifikia hatua ya kuoana tukila kona msilalamike coz you dont like to accept the reality
 
Ndio vina uhusiano, Bado ipo japo si sana, ndo nikakwambia hivi haya mambo ni fumbo hujui ubavu wako utaupatia kona ipi, ww mwenyewe au kwa kutafutiwa na mtu
Wewe ni mmoja wao? (waliochaguliwa mume na wazazi)
 
Mmh haya

Ujue kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi ndo waoaji na tunawaambia the reality, then nyie waolewaji hamtaki kukubali hiyo reality. Basi ikifikia hatua ya kuoana tukila kona msilalamike coz you dont like to accept the reality
Wanajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom