Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Lazima uteseke, pole sana mama.Niliteseka sana, kabla sijaipokea na kuridhika na hii riziki yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uteseke, pole sana mama.Niliteseka sana, kabla sijaipokea na kuridhika na hii riziki yangu
Upendo unaisha. Tena upendo ukiisha ni balaa! Naweza kukuoa leo baada ya miezi sita i dont love u anymore. Kitakacholinda ndoa hapo ni vitu vya ziada kuliko upendo.Hivi kumbe haujaoa!!
Upendo ni muhimu sana RRONDO, hata kama utaridhika nae ila na upendo uwepo. Upendo ndio utakuwa nguzo yenu.
Ndio maana wale ambao huwa wanaanza mahusiano kwa misingi ya urafiki huwa wandumu sana.
Nshapoa nimezoea saiv miaka 9Lazima uteseke, pole sana mama.
Hata ukiisha hauna budi kuvumilia,kwa kile kiapo cha mpaka kifo kitakapotutenganisha pakutokea hakuna ispokuwa kuvumiliaUpendo hauishi?
Basi tunatofautiana kuutafsiri upendo. Na utambue sio kila wanaooana wanaoana sababu wanapendana kwa dhati. Hao ndio baada ya muda fulani wanachokana.Upendo unaisha. Tena upendo ukiisha ni balaa! Naweza kukuoa leo baada ya miezi sita i dont love u anymore. Kitakacholinda ndoa hapo ni vitu vya ziada kuliko upendo.
je unazo sifa tunazohitaji tuanze mchakato?Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Kwahiyo sasa hivi unampenda au umeridhika tu!!Nshapoa nimezoea saiv miaka 9
Unazunguka mwisho utarudi pale pale. Upendo unakwisha, mwisho watu wanaamua kuishi kwa mazoea au kwasababu ya watoto. Kuna ndoa nyingi watu wala hawapendani kivilee ila wanaishi miaka na miaka.Basi tunatofautiana kuutafsiri upendo. Na utambue sio kila wanaooana wanaoana sababu wanapendana kwa dhati. Hao ndio baada ya muda fulani wanachokana.
Yes. Ndio maana nikasema upendo unaweza kuisha na ukaendelea na ndo kwasababu ya vitu vya ziada alivyonavyo mwenzio.Hata ukiisha hauna budi kuvumilia,kwa kile kiapo cha mpaka kifo kitakapotutenganisha pakutokea hakuna ispokuwa kuvumilia
Kidogo nampenda kuliko mwanzo japo nimeamua kuridhika tuKwahiyo sasa hivi unampenda au umeridhika tu!!
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Vitu vingi vinadumu. Hata simu yako inadumu kwa miezi sita,mwaka etc!Upendo unadumu.
sifa mojawapo ufanane na hiyo avata yako...Bora tuko wote nilijua niko peke yangu..
Upendo hauna sababu, na upendo ulio na sababu ndio huwa unaisha. Na sio wote wanaooana wanaoana sababu ya upendo. Ndio kama hivi unakuta mmoja anapenda mwingine ameridhika tu, mwisho wa siku yanabakia kuwa mazoea tu.Unazunguka mwisho utarudi pale pale. Upendo unakwisha, mwisho watu wanaamua kuishi kwa mazoea au kwasababu ya watoto. Kuna ndoa nyingi watu wala hawapendani kivilee ila wanaishi miaka na miaka.
Upendo sio material thing mpaka useme una expire date, upendo hauhesabu mabaya, upendo haujivuni, upendo..........Vitu vingi vinadumu. Hata simu yako inadumu kwa miezi sita,mwaka etc!
Hatimaye umekubali UPENDO UNAISHA.Upendo hauna sababu, na upendo ulio na sababu ndio huwa unaisha. Na sio wote wanaooana wanaoana sababu ya upendo. Ndio kama hivi unakuta mmoja anapenda mwingine ameridhika tu, mwisho wa siku yanabakia kuwa mazoea tu.
Hizo ndoa nyingi unazozizungumzia ndio kama hizo za kuridhika tu, sasa hapo unategemea nini zaidi!!!
Hauishi maana hao hawajapendana bali waliridhika tu. Tofautisha kupendana na kuridhika.Hatimaye umekubali UPENDO UNAISHA.
Nimzungumzia kudumu. Kila kitu kinadumu kwa kiwango fulani ndio maana neno kudumu lipo. Ila nimefurahi kuwa unajua UPENDO UNAISHA. Sasa ni upendo gani hio topic nyingine.Upendo sio material thing mpaka useme una expire date, upendo hauhesabu mabaya, upendo haujivuni, upendo..........
You contradict yourself.Hauishi maana hao hawajapendana bali waliridhika tu. Tofautisha kupendana na kuridhika.
Kuridhika ndio kuna ukomo sio kupenda. Upendo unadumu.Nimzungumzia kudumu. Kila kitu kinadumu kwa kiwango fulani ndio maana neno kudumu lipo. Ila nimefurahi kuwa unajua UPENDO UNAISHA. Sasa ni upendo gani hio topic nyingine.