Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Hivi kumbe haujaoa!!
Upendo ni muhimu sana RRONDO, hata kama utaridhika nae ila na upendo uwepo. Upendo ndio utakuwa nguzo yenu.
Ndio maana wale ambao huwa wanaanza mahusiano kwa misingi ya urafiki huwa wandumu sana.
Upendo unaisha. Tena upendo ukiisha ni balaa! Naweza kukuoa leo baada ya miezi sita i dont love u anymore. Kitakacholinda ndoa hapo ni vitu vya ziada kuliko upendo.
 
Basi tunatofautiana kuutafsiri upendo. Na utambue sio kila wanaooana wanaoana sababu wanapendana kwa dhati. Hao ndio baada ya muda fulani wanachokana.

Na upendo unaoisha ni ule upendo wenye sababu.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
je unazo sifa tunazohitaji tuanze mchakato?
 
Basi tunatofautiana kuutafsiri upendo. Na utambue sio kila wanaooana wanaoana sababu wanapendana kwa dhati. Hao ndio baada ya muda fulani wanachokana.
Unazunguka mwisho utarudi pale pale. Upendo unakwisha, mwisho watu wanaamua kuishi kwa mazoea au kwasababu ya watoto. Kuna ndoa nyingi watu wala hawapendani kivilee ila wanaishi miaka na miaka.
 
Hata ukiisha hauna budi kuvumilia,kwa kile kiapo cha mpaka kifo kitakapotutenganisha pakutokea hakuna ispokuwa kuvumilia
Yes. Ndio maana nikasema upendo unaweza kuisha na ukaendelea na ndo kwasababu ya vitu vya ziada alivyonavyo mwenzio.
 
unataka mpenzi tu au mume? hujafikisha umri wa kuolewa?
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
 
Unazunguka mwisho utarudi pale pale. Upendo unakwisha, mwisho watu wanaamua kuishi kwa mazoea au kwasababu ya watoto. Kuna ndoa nyingi watu wala hawapendani kivilee ila wanaishi miaka na miaka.
Upendo hauna sababu, na upendo ulio na sababu ndio huwa unaisha. Na sio wote wanaooana wanaoana sababu ya upendo. Ndio kama hivi unakuta mmoja anapenda mwingine ameridhika tu, mwisho wa siku yanabakia kuwa mazoea tu.

Hizo ndoa nyingi unazozizungumzia ndio kama hizo za kuridhika tu, sasa hapo unategemea nini zaidi!!!
 
Vitu vingi vinadumu. Hata simu yako inadumu kwa miezi sita,mwaka etc!
Upendo sio material thing mpaka useme una expire date, upendo hauhesabu mabaya, upendo haujivuni, upendo..........
 
Upendo hauna sababu, na upendo ulio na sababu ndio huwa unaisha. Na sio wote wanaooana wanaoana sababu ya upendo. Ndio kama hivi unakuta mmoja anapenda mwingine ameridhika tu, mwisho wa siku yanabakia kuwa mazoea tu.

Hizo ndoa nyingi unazozizungumzia ndio kama hizo za kuridhika tu, sasa hapo unategemea nini zaidi!!!
Hatimaye umekubali UPENDO UNAISHA.
 
Upendo sio material thing mpaka useme una expire date, upendo hauhesabu mabaya, upendo haujivuni, upendo..........
Nimzungumzia kudumu. Kila kitu kinadumu kwa kiwango fulani ndio maana neno kudumu lipo. Ila nimefurahi kuwa unajua UPENDO UNAISHA. Sasa ni upendo gani hio topic nyingine.
 
Kuridhika ndio kuna ukomo sio kupenda. Upendo unadumu.
 
Back
Top Bottom