RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
ningependa kujua process ilikuwaje if u dont mind. PM kama hapa huwezi.Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningependa kujua process ilikuwaje if u dont mind. PM kama hapa huwezi.Ndio
Hata mjini.Aisee. Kwahio unaitwa tu huyu ni mumeo? Wapi huko, vijijini au hata mjini?
Taabu ni pale utakapochoka kuwa confortable kwenye unconfortable situation.Mara nyingi ukiridhika maisha yanakuwa mswano hata kitambi kinakuja tu!
Kuna mada flani ya ulioa au kuolewa ktk umri gani nimeelezea kidogo hiki kisa, nikipata chance ntaileta Hii story one day, lkn esp kanisaidia kujibu kwmb inafikia hatua ndoa km hizi uridhike nayo tu kila kitu kinakuwa perfectningependa kujua process ilikuwaje if u dont mind. PM kama hapa huwezi.
Hiyo reality sio kwamba hatuifahamu maana sisi ndio waolewai hivyo hiyo ya kuridhika inatuhusu zaidi.Mmh haya
Ujue kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi ndo waoaji na tunawaambia the reality, then nyie waolewaji hamtaki kukubali hiyo reality. Basi ikifikia hatua ya kuoana tukila kona msilalamike coz you dont like to accept the reality
Ukiridhika maisha yanakuw mazuri sana.Kuna mada flani ya ulioa au kuolewa ktk umri gani nimeelezea kidogo hiki kisa, nikipata chance ntaileta Hii story one day, lkn esp kanisaidia kujibu kwmb inafikia hatua ndoa km hizi uridhike nayo tu kila kitu kinakuwa perfect
Nakumbuka niliona umeielezea mama.Kuna mada flani ya ulioa au kuolewa ktk umri gani nimeelezea kidogo hiki kisa, nikipata chance ntaileta Hii story one day, lkn esp kanisaidia kujibu kwmb inafikia hatua ndoa km hizi uridhike nayo tu kila kitu kinakuwa perfect
Yeah saiv Niko vizuri baada ya kuridhika, tatizo la hizi ndoa ni pale muhusika mkikosana hapo ndo shughuli pevu ilipoUkiridhika maisha yanakuw mazuri sana.
Ukichoka kuwa coMfortable you move on! Hata uliempenda na kumchagua inaweza kufika wakati ukawa huridhiki nae.Taabu ni pale utakapochoka kuwa confortable kwenye unconfortable situation.
Aisee kazi ipo. Kwahio hii ni kama zile ndoa za kulazimishwa?Hata mjini.
Dah ni mateso kiukweli na inatakiwa ufumbe macho na uzibe masikio hasa maana kauli za Malaya au kahaba zitegemee sana, inataka roho ngumu na ya chuma hasa, lakini km alipata tulizo la nafsi yake Mungu ambariki sanaNakumbuka niliona umeielezea mama.
Kuna mama namfahamu yeye nae aliamua tu kuridhika na mwanaume alomuoa as kumpata alompenda ilikuwa ngumu. Anadai akiwa ktk ndoa ndio akakutana na mwanaume walopendana, akaanza kuchepuka mara mimba, baadae akajiona anakuwa mtumwa. Akaachana na mumewe akaoana na mchepuko and now ndoa yao ina 20 years.
Kuridhika hata hata wanaume inawahusu kwasababu sio kila mtu anaoa mtu aliempenda saana. Wengi wanaangalia iwapo anaweza kuwa mama bora. Mimi sidhani kama nitaoa mwanamke ninaempenda saana....nitaoa ninaeridhika nae, yaani huyu anafaa kuwa mke kulingana na tabia na hekima zake.Hiyo reality sio kwamba hatuifahamu maana sisi ndio waolewai hivyo hiyo ya kuridhika inatuhusu zaidi.
Ni kweli kabisa maana unakuwa hauna bond nae ya upendo. Na upendo ndio huwa ngao pale mnapopitia hali ngumu.Yeah saiv Niko vizuri baada ya kuridhika, tatizo la hizi ndoa ni pale muhusika mkikosana hapo ndo shughuli pevu ilipo
Upendo ni muhimu sana, ukiona imefikia hatua huridhiki nae basi tambua haukumpenda bali Uliridhika nae tu.Ukichoka kuwa coMfortable you move on! Hata uliempenda na kumchagua inaweza kufika wakati ukawa huridhiki nae.
Yes.Aisee kazi ipo. Kwahio hii ni kama zile ndoa za kulazimishwa?
Upendo hauishi?Upendo ni muhimu sana, ukiona imefikia hatua huridhiki nae basi tambua haukumpenda bali Uliridhika nae tu.
Niliteseka sana, kabla sijaipokea na kuridhika na hii riziki yanguNi kweli kabisa maana unakuwa hauna bond nae ya upendo. Na upendo ndio huwa ngao pale mnapopitia hali ngumu.
Hivi kumbe haujaoa!!Kuridhika hata hata wanaume inawahusu kwasababu sio kila mtu anaoa mtu aliempenda saana. Wengi wanaangalia iwapo anaweza kuwa mama bora. Mimi sidhani kama nitaoa mwanamke ninaempenda saana....nitaoa ninaeridhika nae, yaani huyu anafaa kuwa mke kulingana na tabia na hekima zake.
Upendo unadumu.Upendo hauishi?