Jackline Aloyce
Senior Member
- Aug 31, 2016
- 111
- 96
Ucjalii utapata tyu utakaye mpenda muhimu ni kusubir muda ufke utapata tyuu ucwe na haraka kingine msirikishe Mungu piaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
unajifanya unamsimamooo
fanya kugeana contact bhana
kisha mpeane mambo ya nini kubaniana.
Hahaaaa haya sistaSio kila fursa ni fursa my kaka. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
basi sawa.Hahahaa siyo kirahisi hivyo aisee. Mwenza wa maisha siyo kama kachumbari ya harusini kuwa mtakula cku moja ni life long issue!
I think time is yet to come!
Uliingia chaka. Kama kuna watu wakisikia nimekufa leo wanaweza kufanya sherehe huyo ni mmoja wao!Hahaaaa haya sista
Eeh why mkuu?Uliingia chaka. Kama kuna watu wakisikia nimekufa leo wanaweza kufanya sherehe huyo ni mmoja wao!
Hamna kitu kama hicho hadi mtu akutamkie anakupenda lazima kuna kitu amenikionaSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo