BarTender
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 473
- 360
Nisipovutiwa na Mimi wako wawekezaji wengine humu ndani waweza vutiwa. Sikutaka picha kwa ajili yangu tu. Ila ni kwa wana JamiiForum kwa umoja.Ukinikuta sivutii si utanisema humu wewe hiyo nimekata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisipovutiwa na Mimi wako wawekezaji wengine humu ndani waweza vutiwa. Sikutaka picha kwa ajili yangu tu. Ila ni kwa wana JamiiForum kwa umoja.Ukinikuta sivutii si utanisema humu wewe hiyo nimekata.
Yes.Thanks.. J?????
Mwenye lips paanaaaa na akicheka ana......Hahahahahaaa... nimependa umoja wenu mkuu.. ngoja nikuwekee japo nusu![]()
jino kwa jinoKusema kweli umenigusa sana Mzigua90. Hata mimi nina uhitaji kama wako lkn Mchungaji alinisisitiza nisitumie nguvu kubwa kumpata mwenza wngu wa maisha. Nipo Mwanza, napitia kipindi kigum sana. Naona wanawake wengi wazuri lkn siwapendi. Navuta subira, naww vuta subira. There's right time, right place and right reason ya kumpata mwenza wako. Hata mimi niliwahi kuapa kutopenda tena mwanamke wa dar au wa mbali namim!
Keep your prayer to God!
NashukuruKusema kweli umenigusa sana Mzigua90. Hata mimi nina uhitaji kama wako lkn Mchungaji alinisisitiza nisitumie nguvu kubwa kumpata mwenza wngu wa maisha. Nipo Mwanza, napitia kipindi kigum sana. Naona wanawake wengi wazuri lkn siwapendi. Navuta subira, naww vuta subira. There's right time, right place and right reason ya kumpata mwenza wako. Hata mimi niliwahi kuapa kutopenda tena mwanamke wa dar au wa mbali namim!
Keep your prayer to God!
ndo mana nikasema akikaa asubiri mpaka aje mtu atakaekua na sifa zote anazozitaka ni upotevu wa muda maana huwezi mjua mtu mpaka uwe naeKama umejipa kazi ya Mungu hivi!! Lazima aumie hiyo vipi!! Kwani ni dhambi kumpata mtu mwenye sifa unazozitaka hadi umuwekee guarantee ya kuumia?!!!!!!!
How if huyo mwenye sifa anazozitaka ndio match yake maana nae huyu ndio mwenye sifa azitakazo?
hapana mkuu sikukatishi tamaa sema unapokua unatafuta mtu mwenye sifa unazozitaka ni lazima umjue kiundani maana hujaweka vigezoUsiseme hivyo mkuu unanikatisha tamaa...
hahahahaha afu ujue nimekupenda sanaIko sealed bado
Nisipovutiwa na Mimi wako wawekezaji wengine humu ndani waweza vutiwa. Sikutaka picha kwa ajili yangu tu. Ila ni kwa wana JamiiForum kwa umoja.
Nilikwambia watakuja na utajifunza mengi utafaidika[emoji12]Nashukuru