Natamani kupenda tena

Uliingia chaka. Kama kuna watu wakisikia nimekufa leo wanaweza kufanya sherehe huyo ni mmoja wao!
Duuuuuh!! Mimi huyu huyu!!
Hivi kwanini huwa unahisi ninakuchukia!!
 
Una umri gani?
 
Basi mungu na atuunganishe sasa tuwe mwili mmoja alichokiunganisha mungu mwanadamu na asikitenganishe
 
Unapenda mwanaume wa namba gan?


Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Nitafute nikupe ushauri
 
Kanuni moja bora ya kupenda usiweke vigezo viiingi maana tatizo tulilonalo sisi viumbe wa Mungu tunataka mtu mwenye vigezo ambavyo wewe tu mwombaji huna sifa hizo. Mfano jamani mi namtaka mpenzi mwenye macho kama ya malaika,mpole,sjui mstaarabu na mambo chungu nzima wakati wewe huna hata chembe ya utulivu full mchepuko...
We kama kweli unahitaji kweli wa type yako siku ikifika utampata tu.... hivyo kuwa mpole sister!
 
Muombe Mungu tu utampata umpendae
 
Nakupongez sana kw kuonesh ujasali mkubwa, wanawak wengi wamekuw wakishindw kutoa ya moyo, the fact that love is voluntary matter, you are noted, big up. I'm waiting for you.

Sent from my Y3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…