Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sikumbuki uzi au nimemchanganyatukumbushe tafadhali
Mh sina imani na wewe yawezekana tunamshauri mwanaume mwenzetu hapa na sio mwanamke kama wengi tunavodhani coz wanaume wa dar tangu wamejua kufake id basi imekuwa tabu kweli kweliMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Naomba tuonane...Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
pengine..Hata sikumbuki uzi au nimemchanganya
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
bora usikutane naye hata mmoja ili wanaume wa watu wabaki salama wasije wakapata maumivu wakakutwanga risasi na kuishia jela bure. ubaki hivohivo...Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Mkuu kwanini unitie dhambi ya uheart breaker lakin?bora usikutane naye hata mmoja ili wanaume wa watu wabaki salama wasije wakapata maumivu wakakutwanga risasi na kuishia jela bure. ubaki hivohivo...
Mimi mwenyewe sina mke lakini hata ulete maneno yalipakwa rangi kama pundamilia mwanamke nilishadharau najua this time ikitokea mwanamke nikamwoa akacheat ninamnyonga kabisa ili isitokee sitaki kuwa na nasaba na mwanamke bora nife pekee yangu kwa taabu au kwa aibu lakini siyo kuishi na mwanamke.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] . Mkuu kwanini unitie dhambi ya uheart breaker lakin?
Kwahiyo huduma nyingine inakuaje mkuu?? sababu kazi kunwa ya mke inajulikana.Mimi mwenyewe sina mke lakini hata ulete maneno yalipakwa rangi kama pundamilia mwanamke nilishadharau najua this time ikitokea mwanamke nikamwoa akacheat ninamnyonga kabisa ili isitokee sitaki kuwa na nasaba na mwanamke bora nife pekee yangu kwa taabu au kwa aibu lakini siyo kuishi na mwanamke.
Kunywa maziwa siyo lazima ufuge ng'ombe au buzi unaweza kununua maziwa ukihitajiKwahiyo huduma nyingine inakuaje mkuu?? sababu kazi kunwa ya mke inajulikana.
m here mamyMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.