Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
 
Hahaahahahaaa... sikuona huo mfanano wenu na Mungu..
 
Ha ha ha niliamua niache tu hio comment ipite!
Unajua binadamu huwa tuna kawaida ya kujifariji na kuukataa ukweli badala ya kudeal na tatizo ili tuondokane na tatizo husika. Ni kweli inatokea unaempenda wewe hakupendi na anayekupenda humpendi(life isnt fair kwakweli)

Ila wahenga wanasema kama hauwezi kupata unachokitaka basi ridhika na unachokipata. Kutokuridhika na kuwa na high expectations ndio huwa anguko letu.
 
Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Unawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?
 
Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Kwani ukoje dada? Hebu tuelezee kidogo tupate picha.
 
wanakutaka ?kwani yako ina zahabu ndani?hahahahhahaha inaonekana wee ni mtu wakujikweza sana kwa tabia ya namna hii hata kama ni mimi siwezi kutulia lazima nitafute kapembeni
Yeah wananitaka ndio... sijikwezi ila ndio ukweli.
 
Take your time kuji analyse dear. Nimetoka kwenye mahusiano. Utanifundisha nini? Umechukua nini? Umevutiwa na nini?

Mahusiano yako yajayo ungependa yaweje? Umejiandaaje.

Take time to heal. Usiingie katika relationship ingine huku unawaza ex wako. Usiwe kwenye rebound.

You know you deserve better. Usijilaumu kabisa kuhusu mahusiano yaliyovunjika. What doesn't kill us, makes us stronger. Good Luck.
Thank you
 
Back
Top Bottom