DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Waseja hao wenye miaka 10kumbe juzi tuuu wenzako wana 10 years
Miaka miwili tu,,,hapo bado sana subiri ata mitano,,utampata tu atakaekufaaMara ya mwisho nimependa ilikua 2015, ila mpaka leo sijapata mwingine tena.
Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
Hahaahahahaaa... sikuona huo mfanano wenu na Mungu..sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
Unajua binadamu huwa tuna kawaida ya kujifariji na kuukataa ukweli badala ya kudeal na tatizo ili tuondokane na tatizo husika. Ni kweli inatokea unaempenda wewe hakupendi na anayekupenda humpendi(life isnt fair kwakweli)Ha ha ha niliamua niache tu hio comment ipite!
Unawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Kwani ukoje dada? Hebu tuelezee kidogo tupate picha.Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Jibu kwanini hapati mtu lipo kwenye pages zote za hii thread so far.Unawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?
Unamtaka wa aina gani? Maybe vigezo vyako ndio tatizo. Mfano vile ulivyo hauatract wenye vigezo vile unavyovitaka.Tatizo simuoni wa kumpenda..
Ikiwezekana aweke na picha yake halisi ili i support maelezo yake.Kwani ukoje dada? Hebu tuelezee kidogo tupate picha.
Thank youTake your time kuji analyse dear. Nimetoka kwenye mahusiano. Utanifundisha nini? Umechukua nini? Umevutiwa na nini?
Mahusiano yako yajayo ungependa yaweje? Umejiandaaje.
Take time to heal. Usiingie katika relationship ingine huku unawaza ex wako. Usiwe kwenye rebound.
You know you deserve better. Usijilaumu kabisa kuhusu mahusiano yaliyovunjika. What doesn't kill us, makes us stronger. Good Luck.
Wallah...unajifanya huonagi msg zng?!Say wallah??
Naamini atalifanyia kaziJibu kwanini hapati mtu lipo kwenye pages zote za hii thread so far.