wangapi umewah wapenda kwa hisia za ndani? Back to the topic, wanaume weng weng wakishajua umefika poz nying, kikubwa lazima ujicontrol na muda mwingne kumkubal m2 fasta2 cyo ishunatumai mu wazima wa afya.Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Hapo kwenye RED,Nakushauli uwe unaweka ubongo wako(fikra) ''busy'' kwenye mambo mengine ya maisha ukiachilia mbali mapenzi.natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
njoo kwangu mwaya.preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
ohh pole sana, njo kwangu, mi nitakupenda bila mapozi. Love you Lad Gnatumai mu wazima wa afya.Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Usijali kuhusu hilo, chamsingi ongeza kumpenda nae anaweza kukupenda zaidi! Mapenzi vionjo, wanaume always huwa tunarespondi kwa mapenz tupewayo!preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic