Natamani kupendwa kama ninavyopenda

Natamani kupendwa kama ninavyopenda

Pole sana, huwa inatokea. Love is never, never, never, never, never, two ways traffic. One of you, must bear the burden of another. You might not agree with me, but with time, you will come to realize what I am telling you. In fact, you have experience it yourself. What you have experienced, most of the lovers, at one pint or another, have and will experience it. Some of us, have learn to live with it!!!!!
 
Mweeee hilo tatizo kubwa saana.kwani hujawa mwenyeji na mapenzi?maana hizo mara nyingi zinakuwa kwa pale unapokua unaanza.ukiwa mtaasisi aaaah hakuna kupenda kijinga
 
preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
poleee,ila usirudie kosa ni lazima uchunguze kabla ya kupenda...afu ujikague ni kweli unajua kupenda AU isIje ikawa ni mwanamke mtawala/mkali....afu USLINGANISHE MICHUZI ; juzi ulikuwa na mpemba,jana mdigo na leo MKURYA tena fidi fosi katoka juzi depo WATEGEMEANIII..
 
mmh hebu tukumbushane manake lbd wengine tumeshasahau haya mambo...kupenda kwa dhati ndiyo nini vile? na akupendae kwa dhati unamjuaje? manake wengine wetu siku hizi kuhangaikia maisha na kujali familia tunaweza tusikumbuke tena vile vya dhati tukalaumiwa hatupendi kwa dhati kumbe waqt tukidhani ndo mapendo yenyewe tunayaonesha
 
kama mtu haoneshi kukupenda/upendo vile unavtotegemea/unavyotaka, haimaanishi kuwa hakupendi....

Suala la kuonesha upendo nusu, kwa kweli gumu sana (hapo tu utakuwa hujapenda kiukweli)
Kama unampenda mtu, mfanyie tu kile kitakachokupa furaha, usisubiri mpaka ufanyiwe wewe. (mfano, kupiga simu, call him, if talking to him makes you happy, usiuhini moyo wako)
Love my dear, love till it hurts...usijidanganye eti upende nusu, utaumia mwenyewe.
 
hauko peke yako,na mimi nipo hivyo hivyo,sijui ku pretend.nikipenda napenda

Ndiyo inastahili iwe hivyo badala ya kufanya usanii



What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more
Oh, baby don't hurt me
Don't hurt me no more

What is love
Yeah

Oh, I don't know why you're not there
I give you my love, but you don't care
So what is right and what is wrong
Gimme a sign

What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more
What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more

Whoa whoa whoa, oooh oooh
Whoa whoa whoa, oooh oooh

Oh, I don't know, what can I do
What else can I say, it's up to you
I know we're one, just me and you
I can't go on

What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more
What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more

Whoa whoa whoa, oooh oooh
Whoa whoa whoa, oooh oooh

What is love, oooh, oooh, oooh
What is love, oooh, oooh, oooh

What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more

Don't hurt me
Don't hurt me

I want no other, no other lover
This is your life, our time
When we are together, I need you forever
Is it love

What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more
What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more (oooh, oooh)

What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more
What is love
Oh baby, don't hurt me
Don't hurt me no more (oooh, oooh)

What is love?




 
Last edited by a moderator:
Just endelea, give more love and it will come back to you,and when it does , hutakuwa na moyo wa kutosha kuyabeba huwa inakuwaga hivohivo
I love this advice. Thank you Gaga maana sioni thanks hapa.
 
My dear Lady G........siku ukitendwa kisawasawa ndio utafahamu jinsi ya kupenda bila kuonyesha hisia.......


Usimwogopeshe bwana mwache apende yote yote tu...tena onyesha zaidi hisia...
 
lady G midume hupenda sana lkn kama ukionyesha hisia zako kwake wengi hujiuliza maswali kibao, huenda unamchezea source sijui siredi ya nani jana....ila jaribu kuleta mapozi hata ya kuazima...muulize preta anajua how.
 
hongera LIKWANDA kwa comment yenye kweli ,mwenyezi mungu s,w amesema hayo ,, kwahiyo m,mungu atujaaliye tukutane na watu wema wanaolingana na tabia zetu sio kuja kutiana jiti la roho ,ameen na tumuombee m,mungu awape tulizo la moyo wale wote waliopata mitihani ktk kupenda naamin wengi waao wana exprience about this ,,inshaallah kheir
 
nipende tu mimi kinyoba, na hisia zako zote nami nitakupa malavidavi ya ukweli. Lol! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi, mi sijui hata hisia ndo ziko vipi!
 
huko kupedwa na kupenda kwa dhati ni global problem
we mpende tu sa utafanyaje mwenzangu kila siku we ndo wa kumiss yeye walaaaa hata ku beep basi loh mitihani mingine lazima upate zero hata ukijisomeaje...pole mwaya
 
wangapi umewah wapenda kwa hisia za ndani? Back to the topic, wanaume weng weng wakishajua umefika poz nying, kikubwa lazima ujicontrol na muda mwingne kumkubal m2 fasta2 cyo ishu
hyo ni kwa wote sio wanaumetu!
Tatizo ni jinsi tulivyojengeka, kua mwanaume ndo amtongoze mwanamke.ndo mana mwanamke akiringa mwanamme haoni hatari sanasaa atazidi kukomaa
ila akiringa mwanaume mwanamke anaona ni makosa au anateswa! hadi hua wanahalisha kabisa, utasikia "mwanamke maringo babuee"
"me ni mwanamke lazima unibembeleze" n.k
 
wanaume wa kupenda hawapo cku hz wengi wachakachuaje nimeamini.
 
My dear Lady G........siku ukitendwa kisawasawa ndio utafahamu jinsi ya kupenda bila kuonyesha hisia.......

Asante kwa kupitia hii post. Ixee hii point si yakuiachia hvhv. Nimeondoka nayo
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Uliye naye kwa sasa vipi mapozi yake?
 
Back
Top Bottom