Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
karibu.Hahahhahaaaaaaaa............asante dia wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu.Hahahhahaaaaaaaa............asante dia wangu
nipende mm,hautajuta maishan mwako,napenda kuwa na gf wa hivyohauko peke yako,na mimi nipo hivyo hivyo,sijui ku pretend.nikipenda napenda
nipende mm,hautajuta maishan mwako,napenda kuwa na gf wa hivyo
poleee,ila usirudie kosa ni lazima uchunguze kabla ya kupenda...afu ujikague ni kweli unajua kupenda AU isIje ikawa ni mwanamke mtawala/mkali....afu USLINGANISHE MICHUZI ; juzi ulikuwa na mpemba,jana mdigo na leo MKURYA tena fidi fosi katoka juzi depo WATEGEMEANIII..preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
hauko peke yako,na mimi nipo hivyo hivyo,sijui ku pretend.nikipenda napenda
I love this advice. Thank you Gaga maana sioni thanks hapa.Just endelea, give more love and it will come back to you,and when it does , hutakuwa na moyo wa kutosha kuyabeba huwa inakuwaga hivohivo
My dear Lady G........siku ukitendwa kisawasawa ndio utafahamu jinsi ya kupenda bila kuonyesha hisia.......
hyo ni kwa wote sio wanaumetu!wangapi umewah wapenda kwa hisia za ndani? Back to the topic, wanaume weng weng wakishajua umefika poz nying, kikubwa lazima ujicontrol na muda mwingne kumkubal m2 fasta2 cyo ishu
My dear Lady G........siku ukitendwa kisawasawa ndio utafahamu jinsi ya kupenda bila kuonyesha hisia.......
Asante kwa kupitia hii post. Ixee hii point si yakuiachia hvhv. Nimeondoka nayo
Uliye naye kwa sasa vipi mapozi yake?natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla