natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
jamani jamani ushauri mzuri toka kwa wote mliochangia. Ila moyo unaganzi ya ajabu kwa sasa naona ntakosa mume mwenzenu manake sitamani mwanaume cku hz baada ya kutamani pendo la dhati nakulikosa kwa niliekuwanae, tumezaa mtoto 1, hanijali tena machozi yanitoka kila nikiwa pekeyangu sehemu ya utulivu, eeeee mungu nisaidie sijawahi mtenda mwanaume nimetendwa mie. Ntalia mpaka lini mimi.
Hivi kupenda Bila kuonesha hisia ndiyo kukoje?
naombeni mwongozo wajameni..
jamani jamani ushauri mzuri toka kwa wote mliochangia. Ila moyo unaganzi ya ajabu kwa sasa naona ntakosa mume mwenzenu manake sitamani mwanaume cku hz baada ya kutamani pendo la dhati nakulikosa kwa niliekuwanae, tumezaa mtoto 1, hanijali tena machozi yanitoka kila nikiwa pekeyangu sehemu ya utulivu, eeeee mungu nisaidie sijawahi mtenda mwanaume nimetendwa mie. Ntalia mpaka lini mimi.
na wanawake pia ndio ivyo ivyo mbona? akishaona hisia zako kuwa unampenda basi mafulu pozi. kusema kweli na mimi huwa nashindwa kujizuia nikipenda
Namna nzuri ya kufurahia maisha ya kimapenzi ni kupenda kwa moyo wako wote. Kupenda nusu nusu au mguu nje mguu ndani sio vizuri.
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Husninyo........hujakutana na kiumbe asie na haya weye........mbona utajibeba
sasa preta kama unampenda mtu kwa nini uogope kumwonesha. Onesha kuwa unampenda, hata akikutendea ubaya ipo cku atajutia na kukumbuka kama alikuwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Show love bwanaa. Hlf mbona hufiki mpwapwa? Unatambaa au?Husninyo........hujakutana na kiumbe asie na haya weye........mbona utajibeba
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Hahaaa wasiokuwa na haya wakoje mpenzi?
sasa preta kama unampenda mtu kwa nini uogope kumwonesha. Onesha kuwa unampenda, hata akikutendea ubaya ipo cku atajutia na kukumbuka kama alikuwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Show love bwanaa. Hlf mbona hufiki mpwapwa? Unatambaa au?
Chauro.....akikukumba huyo....bora ukumbwe na jini......mara alfu
Husninyo........hujakutana na kiumbe asie na haya weye........mbona utajibeba
kidude cha thanks kipo wapi!!Dia preta usiogope kupenda ati utatendwa........ukifanya hivyo hautakuwa huru na hutakuwa na mapenzi ya kweli kwa mwenzako. Mimi niliwahi kusema na narudia tena, mara nitakapo amua kumpenda mtu hiyo itakuwa with all of myself. Siwezi kufake jambo hili, nitampenda na atajua nampenda. Kitakacho tokea mbele ya safari.....Mungu yupo na atanisaidia after all accidents do happen......rite??
ngoja nikutaftie usafiri usipate visingzio.........mmmh.......Mpwapwa nakuja....si kuna njia ya treni?
kidude cha thanks kipo wapi!!