Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
- Thread starter
-
- #21
hahahaha,,kweli kabisa mkuu,,Walikuwa wanaitwa Invisibles sasa hivi unakutana na Raia mtaaani akishakunywa Serengeti mbili anaanza kijitapa Ooooh mimi Usalama wa Taifa,,,,hawanaga alama, ni kana usalama wa taifa wa zamani. Maana hawa wa siku hizi kufanya kazi huko ndo sifa za mtaani... Zamani ilikuwa huwezi sikia mkurugenzi wa usalama wa taifa eti anajibishana na wanasiasa..
muulize tedo akupe siri ya ban
Mtukane Invisible matusi ya ndani na nje ya nguo... Yaani hapo fasta unaipata ban
Huu Ni Mwaka wa 3 sasa ndani ya JF huwaga Ban naisikia tu natamani na mm niipate siku moja.Mwenye uelewa anieleweshe ukipigwa Ban unaishije? Au nifanye kitu Gani na mm hiyo Ban niipate?
Ban Rehab,,hahaha umetisha sanaHapa nilipo nafundwa jinsi ya kuepuka Ban...Halafu si unajua hili ni Juma Takatifu ndo tunamalizia kwa Resma siwezi kumfindisha matusi..
hahahahaha!! Invisible na Mwanakijiji si ndio waasisi wa hii kitu tokea Enzi za JamboForum