ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,006
Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato wa uchaguzi mkuu 2025.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.