Think of a situation, TEC inawatangazia Wakatoliki na wote wapenda Haki kuwa wasiende kweenye uchaguzi.... Wahuni watafanya nini? na itakuwaje......Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato wa uchaguzi mkuu 2025.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.
Tatizo sio dini kujitenga, tatizo ni wanasiasa kujitenga kutumia dini na madhehebu katika harakati zao za kisiasa.Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato wa uchaguzi mkuu 2025.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.
Siasa ni unafiki na mnafiki haogopi kufika popote. Namna pekee ya kuwaambia unafiki wao umevuka miapka, ni pamoja na kukataza waumini kushiriki. Hapo watakosa uhalaliTatizo sio dini kujitenga, tatizo ni wanasiasa kujitenga kutumia dini na madhehebu katika harakati zao za kisiasa.
Dini zimekuwepo miaka yote na haikuwepo hili tatizo ni mpaka pale tulipoanza utaratibu wa kutimia madhabahu kuhubiri siasa na kuruhusu wanasiasa watumie madhabahu kunasi sera zao.
Thats my take. Siasa ndio iache kutumia dini.
Kwani watafanya nini wakatafte nchi Yao ya kuishiThink of a situation, TEC inawatangazia Wakatoliki na wote wapenda Haki kuwa wasiende kweenye uchaguzi.... Wahuni watafanya nini? na itakuwaje......
Hizo taasisi za dini zinaweza kuwaambia cwana Chadema wakaelewana. Sisi wengine tunausubiri kwa kubwa Uchaguzi Mkuu. Na Miata kuuvuruga Uchaguzi Mkuu kabla ya Vyombo vya Dola kuwashughulikia, hata sisi mtaani tutaanza kuwashughulikia.Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato wa uchaguzi mkuu 2025.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.
Kwani No Reform no Election maana yake nini?Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato wa uchaguzi mkuu 2025.
Ni wazi uchaguzi huu usha haribika toka mwanzo kabisa.
Uchaguzi umegeuka vita, ukigombea tu unafungwa, unatupwa lupango hadi uishe. Sasa hapo utaenda kugombea ili iweje?Kwani watafanya nini wakatafte nchi Yao ya kuishi