Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

Natamani kusikia Rais Samia akisema kitu, maana yanayoendelea nchini yanatisha

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
270
Reaction score
450
Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na kumtaka dereva ashuke wanamhitaji. Dereva wa BMW amegoma kushuka na kuamua kufunga vioo na milango yote. Kwa kuwa gari lililodaiwa ni la TRA lilikua limemblock ulitokea msongamano mkubwa eneo hilo. Dereva wa BMW alipiga kelele kuwa watu hao wanataka kumteka, ndipo wananchi walipoanza kuishambilia kwa mawe gari hiyo iliyodaiwa kuwa ni ya TRA.

Walipoona mawe yamezidi wakaamua kunusuru roho zao kwa kukimbia lakini inasemekana wamegonga mtoto mdogo. Hali hiyo imezidisha hasira kwa wananchi ambao wameendelea kuishambulia gari hiyo kwa mawe na kujeruhi waliomo ndani hadi Polisi walipofiia kuwanusuru. Inadaiwa kumetoka vifo katika tukio hilo, japo bado haijathibitishwa.!
 
Unatamani kumsikia akisema, unahisi akiamua kusema atasema nini?
 
Back
Top Bottom