Kwa nin?Ningekuwa ndo mimi ningesoma haya:-
1. Pharmacy au
2. Clinical Officer
Yaani shwaaa anaruka tu mpaka diploma na form four?Follow your dreams. Nenda DIT kasome Mechanical Engineering Diploma. Utajiendeleza Degree later. All the best. Qualifications unazo.
🤣🤣🤣🤣 Ila watu mna mijibuYaani shwaaa anaruka tu mpaka diploma na form four?
Ndugu yangu ni lazima apitie veta asugue miaka mitatu, apate cheti ndio aende huko asugue tena mitatu kupata diploma, ndio akasome hio digrii uliyomshauriFollow your dreams. Nenda DIT kasome Mechanical Engineering Diploma. Utajiendeleza Degree later. All the best. Qualifications unazo.
Hamna kitu kama iko.Ndugu yangu ni lazima apitie veta asugue miaka mitatu, apate cheti ndio aende huko asugue tena mitatu kupata diploma, ndio akasome hio digrii uliyomshauri
Yeah 3 years Ordinary Diploma. Najua unamaanisha 1st year ni Technician Certificate, 2nd year ni Full Technician Certificate na 3rd year ndio Diploma. Ingawa kila mwaka ni exit, ila uwa tunasema tu Diploma. Pamoja man.Yaani shwaaa anaruka tu mpaka diploma na form four?
Aje kulipwa laki 2.5 kwa mwezi?Ningekuwa ndo mimi ningesoma haya:-
1. Pharmacy au
2. Clinical Officer
Hamna kitu kama iko.
Mkuu achana na hayo maandishi, nenda chuo ukaulize. Yani utoke na D zako moja kwa moja hadi diploma kweli 🤣🤣
Aisee heri nifungue kaduka hata ka reja reja nitafute mia mia mbili, hii mpaka unafika hiyo degree ushaanza kuchungulia 25 - 30 ndio uanze kujitafuta na ajira tena una possibility ya kusugua miaka 3 - 5 benchi, hapo bado huna uhakika wa kutoboa miaka 50 au 45 minimum, bongo nyoso sana.Ndugu yangu ni lazima apitie veta asugue miaka mitatu, apate cheti ndio aende huko asugue tena mitatu kupata diploma, ndio akasome hio digrii uliyomshauri