T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kama elimu imekuwa rahisi tungeona nyie mliosoma elimu ya zamani mnaleta tija badala yake mpo kama sisi, elimu yenu mnayoita ngumu haina mchango wa tofauti kwa taifa.siku hizi elimu imekuwa rahisi sana sio kama enzi zetu 😂 😂 😂
Kusoma kwingi hakuzidi talent, skills na dedication. Bill Gates ni college dropout kama elimu ni muhimu basi waliohitimu chuo na kupata PhD uko wangefanya makubwa zaidi yake ila hawakujaaliwa hivyo.