chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia tu kuvuruga akili.
Ndo nimekuja kwenu wadau mnipatie moja mbili tatu ya kipi nifanye ili nitimize ndoto yangu nafanya kama hooby lakini pesa baadaye.
Natumai nitatimiza ndoto yangu katika Mungu na juhudi
Amen
Ndo nimekuja kwenu wadau mnipatie moja mbili tatu ya kipi nifanye ili nitimize ndoto yangu nafanya kama hooby lakini pesa baadaye.
Natumai nitatimiza ndoto yangu katika Mungu na juhudi
Amen