chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Siivyo nataka nitafsiri mimi kama mimi mwenyewe kwa akili yanguKutafsiri kitabu chochote lazima uwe na ruhusa ya owner/ publisher, Kuwa makini usije fanya copyright violation watakufunga hawachezi wale, ila kama unaongelea kutafsiri tuu Kwa hobby unaweza kuanza na chatgpt itakurahishia kazi sana
wasiliana na mwandishi wa kitabu husikaHapa kwenye ruhusa ndo pana nichanganya ,hapa ndo nachanganyikiwa sijui nianze wapi?kupata ruhusa
Sawa ngoja niwatafutewasiliana na mwandishi wa kitabu husika
kila laheri mkuuSawa ngoja niwatafute
Ka.a unataka kutafsiri kitabu cha bwana napoleon hill alyekufa itakuwaje sasaSawa ngoja niwatafute