Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawafaidi kitu... sisi ma FATUKA ndo tuna faudu!
FATUKA = Hawa ni wanaume walio oa lakini wanadadavua mabinti wasioolewa walokole (wapendwa)!! below 25 above 20 years!
dah! mzee wa kinyumenyume bana dah! haya ukiwataka wengi hamasisha watu waje kwenye kile kichumba cha kitubio.....nobody will suspect
Babu Seya alishughulika na mali za mkuu wa KAYA
du fataki limefanana na MganyiziJamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.
Ushauri wapwaz
![]()
Rev M, sasa ishakuwa tabu si utamaliza sadaka zetu???
Jamani kakaangu umekosa cha kutamani.Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo.
Ushauri wapwaz
![]()
du fataki limefanana na Mganyizi