OlaryMoleli New Member Joined Nov 8, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Apr 25, 2024 #1 Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting. Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.
Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting. Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.