Natamani kuwa malaika

Natamani kuwa malaika

You take it too personal. Kuhusu LJD Kwa ujumla huu wimbo kachemka, badala ya kusonga mbele anarudi nyuma, watoto wamenuna, Video imeboa, mmmmh

Lady Jay Dee, kaimba vizuri sana tena sana wala hajachemka.
Jamani WaTanzania tujifunze kusifu pale inapostahili.
Mnyonge mnyonyeni, haki yake mpeni
 
Mbona Avatar yako ni katuni ya Kishetani?

TAYARI WEWE NI SHETANI huna haja ya kutamani kuwa tena shetani labda tamani kuwa mkuu wa Mashetani cheo ambacho hutakipata milele.


ha ha ha ha aah! you make me laugh!
 
Rostam Azizi SIO Fisadi, na wala Wana CCM SIO Mafisadi.
Kupinga na kupiga vita Ufisadi ni Sera ya CCM.

CCM Hoyee.
CCM ni Nambari Wani.

Na wewe unaboa, unabisha vilivyo wazi! kama huna cha kuchangia bora ukae kimya tu!
 
asante lady jaydee
mie natamani kuurithi ufalme wa mbiguni bathi
 
Back
Top Bottom