Natamani kuwa unfollow mastaa wote instagram, hii insta awards inachosha

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
hivi hii insta awards inaisha lini wakuu manake kwa sasa hamna kinachopostiwa zaidi ya kupiga kuomba kupigiwa kura yaan 24/7 ni plz vote for ........ aaaaaaagh
 
Du kama Hakuna Chochote mbona wanahamasisha sana watu wawapigie kura as if mtu akishinda anapata something...Kweli watu wanapenda sana cheap publicity.
hii award show ya le muttuz na ona kashajipa award yake. wanaandaa intsgram party tena bila kunitaarifu mimi
 
Great thinker wasiojuwa hata mana ya tuzo na Gharama yake nyiy ni ma great panyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…