jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
hivi hii insta awards inaisha lini wakuu manake kwa sasa hamna kinachopostiwa zaidi ya kupiga kuomba kupigiwa kura yaan 24/7 ni plz vote for ........ aaaaaaagh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chochoteHivi Wanapata zawadi Gani wakishinda? Wishiriki ni nani?
Du kama Hakuna Chochote mbona wanahamasisha sana watu wawapigie kura as if mtu akishinda anapata something...Kweli watu wanapenda sana cheap publicity.Hakuna chochote
hii award show ya le muttuz na ona kashajipa award yake. wanaandaa intsgram party tena bila kunitaarifu mimiDu kama Hakuna Chochote mbona wanahamasisha sana watu wawapigie kura as if mtu akishinda anapata something...Kweli watu wanapenda sana cheap publicity.
Una washwa weweGreat thinker wasiojuwa hata mana ya tuzo na Gharama yake nyiy ni ma great panyaaa