Natamani kuzaa mtoto wa kiume!

Natamani kuzaa mtoto wa kiume!

nsami

Senior Member
Joined
Jun 11, 2010
Posts
175
Reaction score
8
Wakuu,

Naomba ushauri wa kitaalam. Mimi na mke wangu tumejaliwa watoto watatu wote ni wakike. Namshukuru Mungu kwa hilo na nawapenda sana. Natamani kupata mtoto wa kiume pia bahati mbaya mie na wife wote tulisoma technical schools enzi hizo hatujui biology.

Naombeni msaadaili nifanye timing ya mtoto wa kiume ili nifunge kazi ukizingatia hali ya maisha.

Please this is serious naomba muache mzaha kama huna cha kunisaidia pita tu kimya kimya!

Nawasilisha.
 
.......Burudika na mkeo masaa 12 kabla ya ovulation. Inabidi ujue tarehe kamili yai linapotoka.

Vile vile usiwe unapenda kuburudika mara kwa mara na mkeo, inabidi kulenga siku ile ya ovulation.
Ukifanya hivi lazima atatokea baby boy.
 
Wataalamu wa ovulaton period come this way mtoe msaada
Wapi MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
.......Burudika na mkeo masaa 12 kabla ya ovulation. Inabidi ujue tarehe kamili yai linapotoka.

Vile vile usiwe unapenda kuburudika mara kwa mara na mkeo, inabidi kulenga siku ile ya ovulation.
Ukifanya hivi lazima atatokea baby boy.
Asisahau kuomba Mungu pia
 
Wakuu,

Naomba ushauri wa kitaalam. Mimi na mke wangu tumejaliwa watoto watatu wote ni wakike. Namshukuru Mungu kwa hilo na nawapenda sana. Natamani kupata mtoto wa kiume pia bahati mbaya mie na wife wote tulisoma technical schools enzi hizo hatujui biology. Naombeni msaadaili nifanye timing ya mtoto wa kiume ili nifunge kazi ukizingatia hali ya maisha.

Please this is serious naomba muache mzaha kama huna cha kunisaidia pita tu kimya kimya!

Nawasilisha.
Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.
Mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12.

Sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba.

Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.

Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada ya masaa 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya muda huo bao hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha.

Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.

Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo.

Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka..cc@M.M Nkunya

Wataalamu wa ovulaton period come this way mtoe msaada
Wapi MziziMkavu
Bibie hujambo lakini Chocs
 
Sijambo Doc, nashukuru kwa ushauri...mlengwa atakua kajifunza kitu hapo
Ila hujasema kama ni kwa mzunguko mfupi,wa kawaida au mrefu?
Kumbe mtoto wa kiume ana masharti namna hiyo me nilijua ni siku tatu mbegu ndo zinaisha nguvu.
Basi sawa.
Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.
Mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12.

Sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba.

Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.

Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada ya masaa 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya muda huo bao hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha.

Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.

Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo.

Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka..cc@M.M Nkunya

Bibie hujambo lakini Chocs
 
Kwa kuongezea maelezo ya dr mkuu, sio wanawake wote wanapata ovulation nyakati hizo. Ukionana na dr unaweza kufanya follicular study na kupata exact day ya yai kupevuka.
Kila la kheri.
 
Mimba inaingia siku ya 12 hadi 15 toka siku ya kwanza ya hedhi.
Mfano mwanamke anaingia kwenye hedhi tarehe 3 may basi huyu atashika mimba tarehe 15may hadi tarehe 18may maana tarehe 15may ni siku yake ya 12.

Sasa basi ukitaka mtoto wa kike basi tembea na mkeo tarehe 14may siku ya 11 ambayo kwa kawaida sio siku ya mzunguko ya kupata mimba.

Mbegu za watoto wa kike zinachelewa kufa ndani ya uke.

Mbegu zinazoleta mtoto wa kike hufa ndani ya uke baada ya masaa 24 lakini mbegu zinazoleta mtoto wa kiume hufa baada ya masaa 4 na zina nguvu kwelikweli maana ukipiga bao moja linatosha kuzalisha .baada ya muda huo bao hilo halizalishi maana nguvu yake inakuwa imeisha.

Kwa kifupi kuna vitu vingi vinavyoungana kwa pamoja .Kuna kunawa baada ya tendo.

Mwanamke asinawe kabisa maji ya baridi maana ataathiri mwendo wa mbegu hizo.

Akilazimika kunawa basi yawe maji ya moto. Jaribu njia hii utafanikiwa kumpata mtoto unaemtaka..cc@M.M Nkunya

Bibie hujambo lakini Chocs

Ahsante Dr kwa msaada wako! Alafu mbona umetaja tar 3 May na ikawa ni kweli amepata hedhi tarehe hiyo, unatisha!
Hapo kwenye red umenichanganya kidogo, tafadhali naomba msaada. Siku ya mzunguko wa kupata mimba itakuwa tarehe ngapi, kwa tarehe za mfano wako?
 
1.Hapo kwenye red umenichanganya kidogo, tafadhali naomba msaada.
2.Siku ya mzunguko wa kupata mimba itakuwa tarehe ngapi, kwa tarehe za mfano wako?

Msaada tafadhali mkuu!
 
Na mimi pia DR sijamsoma sana,mbona anadai kuwa tarehe 11 ndo mtoto wa kike sasa mtoto wa kiume ni tarehe ngapi
 
Elimu hii ni muhimu sana kwa jamii yetu, na nadhani kwa elimu uliyopata hapo utafaulu. ombi langu tafadhali matokeo yeyote yale rudi hapa utujulishe kwa manufaa ya wengine kama wewe
 
Mimi hupata hedhi inayo katikakatika je naweza kupata mimba siku ya ngapi?
 
Ahsante Dr kwa msaada wako! Alafu mbona umetaja tar 3 May na ikawa ni kweli amepata hedhi tarehe hiyo, unatisha!
Hapo kwenye red umenichanganya kidogo, tafadhali naomba msaada. Siku ya mzunguko wa kupata mimba itakuwa tarehe ngapi, kwa tarehe za mfano wako?
Mkuu M.M Nkunya Beginning of last menstrual period Mwanzo wa kipindi cha mwisho wa hedhi (toa tarehe hapo)

For more accurate ovulation dates, please fill in your previous 2 menstrual periods.

  • 2. First day of previous menstrual period: Siku ya kwanza ya kipindi cha nyuma hedhi (Toa tena Tarehe hapo)

3. First day of preceding menstrual period:
(about 3 months ago)
Siku ya kwanza ya kabla ya kipindi cha hedhi: (miezi 3 iliyopita) (Toa tena Tarehe hapo)

tembelea hapa bonyeza Ovulation Calculator from WebMD

Au niambie mwezi huu mke wako amepata siku gani ya hedhi mwanzo wa siku ilikuwa tarehe gani?
 
Madoctor mnatuchanganya mbona hv mfano Mtu ulipata cku zako tar 19/6 then mwezi wa Saba hujapata kabisa af mwezi wa Jane tar Tisa ndo upate sasa hapo ovulation day ni lini jaman wakuu? Coz sielewi kabisa
 
We unachanganya kati ya kalenda ya mwaka na ovulation calender. Hivyo ni vtu v2 tofauti.
 
MBINU ZA KUPANGA JINSIA YA MTOTO WA KUZAA

Mpendwa msomaji wa JUKWAA LA WAKUBWA, Maada yetu ya leo ni mbinu za kupanga jinsia ya mtoto wa kuzaa kabla mkeo hajashika mimba....

Siku hizi ulimwengu umeendelea sana, matatizo mengi yanatibika kwa msaada wa wataalamu...Hakuna tena haja ya kupigana na kupeana talaka kisa jinsia ya mtoto...

Somo la leo litajikita zaidi katika mbinu za kuzaa mtoto wa kike.

Ni vipi jinsia ya mtoto huainishwa?
Kinyume na wengi wanavyofikiria kwamba mwanamke au mwili wa mwanamke ndio wenye jukumu la kuainisha jinsia ya mtoto kwa kuwa yeye ndiye anayebeba mimba, uhakika wa mambo ni kuwa mwanamume ndie mwenye uwezo wa kuainisha jinsia.

Kila yai la mwanamke lina chromozu mbili za X. Iwapo manii ya mwanamume au spemu (ambayo in chromozomu X na Y) itakuwa na X na kurutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke.

Vilevile iwapo spemu ya mwanaume itakuwa na Y na kurutubisha yai la mwanamke lenye X, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamume.

Hivyo kwa kufahamu suala hilo, ni matumaini yetu kuwa vile visa vya kinamama kuachwa eti kwa kuwa hawakuzaa watoto wa kiume au wa kike vitapungua katika jamii zetu. Mke wako asipozaa mtoto wa jinsia uitakayo, usifikiri kuwa yeye ndio mwenye makosa.

Wakati mwanamume anapomwaga shahawa, spemu kati ya milioni 200 hadi 400 humwagwa katika uke wa mwanamke. Baadhi ya spemu hizo huwa zina chromozomu X na baadhi zina chromozomu Y.

Hata hivyo, ni spemu moja tu ambayo hutakiwa kwa ajili ya kurutubisha yai la mwanamke na kuunda mimba.

Nadharia mbalimbali zinazotolewa kwa ajili ya kusaidia kuchagua ni jinsia gani unaitaka awe nayo mwanao, zinategemea suala la kuandaa mazingira katika uke na mwili wa mwanamume na mwanamke, yatakayosaidia spemu ya baba yenye chromozomu inayotakiwa irutubishe yai la mama, na hivyo kutungwa mimba ya jinsia inayotakiwa.

Njia ya Dr. Shettles ya kuzaa mtoto wa kike

Njia hii imekuwa ikitumiwa na watu wengi kwa miaka mingi sana na imewasaidia kuweza kuzaa mtoto wa kike.

Wengi wanasema kuwa uwezekano wa kufanikiwa njia hii ni asilimia 90. Njia ya Dr. Shettles inategemea msingi kwamba, chromozomu Y (yenye kuwezesha kutungwa mimba ya mtoto wa kiume) ni ndogo na yenye kwenda kwa kasi zaidi ikilinganishwa na chromozomu X (yenye kuwezesha kutungwa mimba ya mtoto wa kike) ambayo ni kubwa na huenda polepole.

Pia kwa kutegemea kuwa chromozomu X inaishi muda mrefu zaidi kuliko ile ya Y. Hivyo Dr. Shettles anashauri kuwa iwapo unataka kuzaa mtoto wa kike uhakikishe kuwa:

1.Unajamiiana siku 2 au 3 kabla ya Ovulation. Kinadharia spemu za kiume zitakuwa zimeshakufa hadi kufikia siku hasa ya Ovulation na kuziacha spemu za kike zikiwa hai tayari kurutubisha yai na kuunda mtoto wa kike.

2.Anashauri pia wanawake wajizuie kufikia kileleni (orgasm) kwani hali hiyo itaufanya uke uwe na hali ya asidi ambayo ni kwa faida ya spemu ya kike yenye chromozomu X.

3.Pia anawashauri wazazi wanapojamiina wawe katika hali ya mwanamke kulala chini na mwanamume juu au missionary position. Kwani anasema kuwa mtindo huo huziwezesha spemu zenye chromozamu X zimwagike karibu na mlango wa uke na kuwa na uwezekano mkubwa wa kuingia ukeni na kutungwa mimba.

Njia ya O+12
Njia hii inayomaanisha Ovulation jumlisha siku 12 na ilivumbuliwa na mama mmoja wa Australia aliyekuwa akihangaika kupata mtoto wa kike baada ya kuzaa watoto 6 wa kiume.

Mama huyo anawahusia wale wanaotaka kubeba mimba ya mtoto wa kike wajamiiane masaa 12 baada ya Ovulation.

Mama huyo alifuata njia ya Dr. Shettles bila mafanikio katika mimba zake za nyuma. Lakini baada ya kugundua njia yake hii mwenyewe mwishowe alibeba mimba na kujifungua mtoto wa kike.

Kuna wengine wanaamini kwamba baadhi ya lishe na vyakula vya aina mbalimbali husaidia kutunga mimba ya mtoto wa kike.

Kwa mfano kuna wanaoamini kuwa kula baadhi ya vyakula huufanya uke uwe na hali ya asidi ambayo husaidia Chromozomu Y ife katika uke.

Nadharia nyingineyo inayotumiwa katika kuchagua jinsia ya mtoto inasema kwamba, mwanamke anayetaka kubeba mimba ya mtoto wa kike ale vidonge vya virutubisho (supplements) vya Calcium na Magnessium mwezi mmoja kabla ya kubebea mimba.

Iwapo unataka kutumia vidonge vya virutubisho ili uweze beba mimba ya mtoto wa kike, ni bora ushauriane na daktari wako kwanza.

Hii ni kwa sababu dawa hizo huweza kuingiliana na dawa nyinginezo za magonjwa mbalimbali.

Baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa vinasaidia katika kutunga mimba ya mtoto wa kike ni.

-->>>Mahindi, nyama, maharagwe, samaki, tunda damu, mayai na maini.

Vyakula hivyo ni vya asidi hivyo huifanya PH ya mwili wako hupungua na kuwa ya acidi. Hali hiyo husaidia kuua spemu za Y na hivyo kusaidia kuzifanya spemu za X ziwe na uwezekano mkubwa wa kurutubisha yai.

Hivyo mwanamke anayependelea kubebea mimba ya mtoto wa kike anashauriwa kutokula vyakula vyenye alikali ambavyo ni kama, ndizi, chokleti, juisi ya machungwa, viazi, tikiti maji na vinginevyo.

Pia sio mbaya kutaja baadhi ya imani na itikadi wanazoamini baadhi ya watu kuwa zinasaidia katika kupata mtoto wa kike:

1. Fanya mapenzi wakati wa mchana.

2.Fanya mapenzi siku shufwa (even days) za mwezi.

3. Fanya mapenzi wakati mwezi umekamilika ( full moon days).

4 Kula samaki na mboga mboga kwa wingi, na baadaye kufuatiwa na kitinda mlo cha chokleti.

5.M-surprise mwenzi wako, kuna wahenga wanaamini wanawake wanaoanzisha wao kufanya mapenzi huzaa watoto wa kike!

Kila la kheri mpendwa msomaji, unaweza kuchagua moja ya njia kati ya zilizotajwa hapo juu na kwa kufuata maelekezo ukajaaliwa kuzaa mtoto wa kike
 
Mimi hupata hedhi inayo katikakatika je naweza kupata mimba siku ya ngapi?

Hesabu hedhi ya kwanza umepata tarehe ngapi kisha hedhi nyingine note hivyo kwa miezi 3 utajua mzunguko wako.
 
Madoctor mnatuchanganya mbona hv mfano Mtu ulipata cku zako tar 19/6 then mwezi wa Saba hujapata kabisa af mwezi wa Jane tar Tisa ndo upate sasa hapo ovulation day ni lini jaman wakuu? Coz sielewi kabisa

Tar.19/6 + siku 11-15 kati kati ovulation yako kwa mzunguko wa siku 28 hapo kuanzia tar.1/7 ukipigwa lazima udake mimba tar.02/7 unapata dume tar.30/6 jike
 
Back
Top Bottom