Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIO BORA ZAIDI AU ana afadhali?Dr. Steve Nyenyere
Huyu hufanya shughuli gani kuingiza kipato? Wakat flan nilimuona anasukuma kitu cha PRADO black.NDIO BORA ZAIDI AU ana afadhali?
EH!Huyu hufanya shughuli gani kuingiza kipato? Wakat flan nilimuona anasukuma kitu cha PRADO
hahahahaUnajua kule Nigeria kuna Ma billionea wengi sana , na wengi utajir wao ni haramu, c mnajua wanaigeria , u freemason na mambo ya uchawi Ndo unaongoza, so kuna Ma don wa maana.
Na kwa mastaa inakua rahis Zaidi kuonekana na wadau , pia mastaa wa kule wana elimu wanajielewa, hawalalwi kisa sijui kiki , kule pesa mbele tena sio ya mbuzi , na mastaa wa kike wengi wao ni wasiri mno , hawaropoki kama dada zetu huku
Huddah mwenyewe siku hiz chimbo lake Nigeria , mwez Hauishi hajakanyaga kule, Ila juzi wanaigeria walimchamba et malaya anajiuza🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duuuh.....Nigeria wanatoa tu kafara, ili watajirike kama ile ishu ya psquare kumuua mama yao, na D'banj kumuua kichanga chake juzi kati!Unajua kule Nigeria kuna Ma billionea wengi sana , na wengi utajir wao ni haramu, c mnajua wanaigeria , u freemason na mambo ya uchawi Ndo unaongoza, so kuna Ma don wa maana.
Na kwa mastaa inakua rahis Zaidi kuonekana na wadau , pia mastaa wa kule wana elimu wanajielewa, hawalalwi kisa sijui kiki , kule pesa mbele tena sio ya mbuzi , na mastaa wa kike wengi wao ni wasiri mno , hawaropoki kama dada zetu huku
Huddah mwenyewe siku hiz chimbo lake Nigeria , mwez Hauishi hajakanyaga kule, Ila juzi wanaigeria walimchamba et malaya anajiuza[emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]na hiyo way yake kichwani...yaan amekuwa mbaya kama nini sijui [emoji134][emoji134]Madame alijisiriba miunga usoni akijua yeye ndo ataibuka na tunzo
HausaIGBO MAN WAZURI SANA
KULIKO YORUBAS AND WALE WENGINE SIJUI WANAITWAJE NIMESAHAU
Kawa kama Zombie. Hapo anajiona msichanaaa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]na hiyo way yake kichwani...yaan amekuwa mbaya kama nini sijui [emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]...ghafla Wema anajiona ana miaka 20[emoji849][emoji849][emoji16][emoji44]kisa kakata utumbo na kanyoa nywele, mmama anapenda utoto yule sijapata kuonaKawa kama Zombie. Hapo anajiona msichanaaa
Hivi bado unaamini lile drama la mapacha fekerooooo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiv ile mimba ya Bilionea MchichaMwi ilikuwa kweli? Maana sijasikia kampa binti yoyote tena Mimba au mpaka Tanganyika sweetness tu inatunga?
Kumbe drama kama ile "Bilionea" kununua nyumba ya Milioni 300 mbezwiHivi bado unaamini lile drama la mapacha fekerooooo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
UuuuwiDuuuh.....Nigeria wanatoa tu kafara, ili watajirike kama ile ishu ya psquare kumuua mama yao, na D'banj kumuua kichanga chake juzi kati!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me yule dogo sijawahi kumpendagaHiv ile mimba ya Bilionea MchichaMwi ilikuwa kweli? Maana sijasikia kampa binti yoyote tena Mimba au mpaka Tanganyika sweetness tu inatunga?
Yes hao hao
OkUchumu wa naija huwez fananisha na bongoland pia ina population kubwa so ndo knachowabeba na wanasapotiana sana