Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini?

Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka.

Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu ndoa za wake wengi

Pia taifa lingejipanga kukabili future ya watoto waliolelewa na mzazi mmoja ambao maadili yao ni mkono wa Mungu tu ndio unaowakuza
 
Swali la uzazi huwa linatuhusu wanawake,, labda siku hiyo uwe mwanamke
 
Back
Top Bottom