Natamani miezi yote ingekuwa miezi mitukufu......!!!

Natamani miezi yote ingekuwa miezi mitukufu......!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Mambo ni aje wana JF!!
Hatimaye nimerejea tena jamvini. Sio siri huu mwezi naona dada zangu wengi wanavaa mavazi mazuri na ya kupendeza!!
Mavazi yenye heshima mbele za watu na yanayositri maungo yao vizuri!!

Jamani DADAZ kwanini msiendelee kuvaa hivi siku zote??!! Ni mtazamo tu!!!
 
hakuna hata kelele za bar!nyumba za kulala wageni wa mchana kwa sasa vyumba vipo!
 
Mimi sitamani hata kidogo miezi yote iwe kama mwezi mtukufu kwa sababu biashara yangu ya kiti moto imedorora sana sana. Kwa mwendo huu nitashindwa kusomesha watoto!!
 
Vitimoto vinaharibika hakuna wanunuzi
 
Wangekuwa wanafunga wiki moja tu inatosha maana mabinti wa bure wamepungua mtaani.
 
Mmmmh! Sidhani, coz kumbuka kuna wanaopretend.....na lazima uzalendo utawashinda!
 
Na mimi nilitaka kuuliza; ni kwa nini kiti moto inadoda kipindi hiki? Ni kweli kuna wateja wa dini mbali mbali wa hii kitu??
Mimi sitamani hata kidogo miezi yote iwe kama mwezi mtukufu kwa sababu biashara yangu ya kiti moto imedorora sana sana. Kwa mwendo huu nitashindwa kusomesha watoto!!
 
Na mimi nilitaka kuuliza; ni kwa nini kiti moto inadoda kipindi hiki? Ni kweli kuna wateja wa dini mbali mbali wa hii kitu??
na mitandaoni na socila networks kumekua na ustaarabu ramadhani idumu.kitimoto bwelele hata nidhamu mitaani imerudi
 
Ukipita mjini kila mdada amependeza, baibui za kuvutia! Naupenda sana huu mwezi.
 
Back
Top Bottom