GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Sizan kama n busara kumwombea binadamu mwenzako apoteze uhai wake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Utani ni mzaha Wa Kipumbavu uliokubalika.Mizaha ya namna hii Ni ya kipumbavu
Dah hahah!!!Nitaomba katika hilo hilo Gazeti unionyeshe hayo ' Matusi ' ili nami niyajue ila ninachojua tu ni kwamba neno Mjinga lipo mara 12 katika Kitabu Kitakatifu cha Biblia na neno Pumbavu / Mpumbavu lipo mara 24 katika Kitabu hicho hicho Kitakatifu cha Biblia hivyo kama maneno hayo mawili ambayo Mimi hupenda mno na sana kuyatumia ya Mjinga ( Ngumbaru ) na Mpumbavu ( Popoma ) ni ' Matusi ' basi nadhani hayo ' Matusi ' nitakuwa nimejifunza kwa Baba Muumba / Maulana / Mola / Mwenyezi Mungu mwenyewe.
Dah hahah!!!
Sawa mkuu yaishe.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mungu ni mwema hakika apendi tuwe na uzuni zaidi ya kumuomba na kuzidisha Sala... Atatupatia mwengine INSHALLAH.Na ndicho nakifanya Mkuu na huwezi amini naandika hapa lakini nipo katika Huzuni kubwa na Majonzi makubwa. Jembe la Uhakika limeondoka na sijui kama litatokea Jembe jingine kama Marehemu Ruge Mutahaba a.k.a Jasiri Muongoza Njia.
Pumbafu kwenda ndo maana huna kabila weye. mkimbizi huna vibali. waacheeeeeMizaha ya namna hii Ni ya kipumbavu
Amemshika sharubu mkuu popoma ,acha apewe za mbavu,Mura popoma mbuya eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona ulitegesha bomu lako jamaa kakanyaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha ha ha; kitu kimoja ambacho labda unisaidie we Mkurya, hivi swahiba wa Ruge si Mkurya/Mtani wa marehemu? Itabidi Wahaya wakae vizuri wasije wakadhurumiwa URITHI pale CMG, yule dogo aliyesoma historia ya baba yake sijui mama yake ni kabila gani aise?Halafu kuna Mhaya mmoja Msibani alikuwa ananiangalia kwa umakini mno huku pia akiniogopa na mara kwa mara alikuwa akiniuliza nataka Kula au Kunywa nini. Sijui alinishtukia kuwa labda Mimi ndiyo ' Mtani ' wake / wao GENTAMYCINE. Jamani Wahaya chelewesheni ' Kumzika ' Ruge kwani huu Msiba unaokoa sana ' Bajeti ' zetu za Kimaisha hapa mjini.
Una muda wa kuchezea we p.unguani , wosia unamuandikia Nani humuPumbavu ni wana Ukoo wako wote pamoja nawe. Wahaya ni Watani zetu wakubwa mno na hakuna Watu ninaowapenda kama Watani zangu Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi. Na isitoshe nimeleta hapa huu ' Uzi ' ukiwa ni Jukwaa la Utani. Halafu ni nani aliyekuambia kuwa katika Msiba Watu hawaruhusiwi Kutaniana? Hivi Wewe ' Takataka ' unajua dhana nzima ya ' Utani ' kuwepo katika Jamii ya Watanzania? au unadhani Mimi GENTAMYCINE sijaumia na siumii Kufariki Kwake Ruge Mutahaba?
Nakumbuka miaka ya 90 huko wakati wa Msiba wa Kaka yake Mwalimu Nyerere ( R.I.P ) pale Butiama ( waliokuwepo watanirekebisha ) Watani zetu hawa hawa Wahaya wakati Jeneza liko mbele walikuwa Wahaya fulani wawili wakawa wanalikalia huku wakilifanyia ' dhihaka ' za kila aina na wakisema kuwa Wazanaki na Mwalimu Nyerere tumemtoa ' Kafara ' Marehemu kisha wakasema Marehemu haendi Kuzikwa hadi kupatikane Pesa fulani na nakumbuka Hayati Mwalimu ilibidi pale pale awaite Wazee wa Kimila pamoja na hata Mzee Butiku ili Hela ya Watani ipatikane na wapewe na hilo lilifanyika haraka sana na wakapewa hizo Pesa na kuruhusu Marehemu akazikwe Mwitongo.
Ili uone kuwa Utani una Faida kubwa kuliko uwazavyo Mpumbavu Wewe ile Hela ambayo Watani zetu Wahaya waliiomba Sisi tulidhani labda wanataka tu kwenda ' Kuitumbua ' lakini huwezi amini Watani zetu hawa Wahaya ile Hela pamoja na zao ( walizochangishana ) wao kwa wao walienda Kununua Ng'ombe na Mahitaji mengine ya pale Msibani ndipo Sisi wengine ambao bado tulikuwa wadogo tukaujua umuhimu wa Utani hasa kwa Makabila ya Tanzania zaidi ya 120.
Siku zingine acha kuwa Mpumbavu tafadhali na hawa Watani zangu Wapendwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Wakara na Warangi nitaendelea ' Kuwatania ' hadi Siku ile na Mimi naingia Kaburini Kulazwa na bado nasisitiza hakuna Watu ninaowapenda na kuwaheshimu kama Watani zangu hao na ndiyo maana hata wakinisema ( wakinichana ) huwa nakuwa mpole kwani ni Wajomba na Shangazi zetu.
Pumbavu.
Wapare ni wachumi wa kuzaliwa lakini cha ajabu wanaweza practical tu theory inawatupa chini. Wangepasi theory hazina na benk kuu wangekua ni Mgonja, Mshana, Mziray....
Hapo ndio inadhihilika kuwa tunawaonea wivu (Makabira 5) yanayoleta maana ya Wahaya.Huyu Ruge Pamoja Na Misifa ya Kabila lake nashangaa hakuwa Na Account rasmi ya jina lake Kwenye Mitandao ili kushindana followers
Nawaza Sifa Za Ruge angekuwa nazo Haji Manara Sijui Kama kungekalilka
Mtoto wa Prof Na Dkt
Kazaliwa mbele kabisa yaan Posta mpya ya US
Halafu kichwa kimejaa Madini
Mkwanja wa kutosha
Tungemkoma Yule Zeruzeru kwa nyodo
Una ' Utani ' nao wa ' Kiasili ' kama Mimi au unawatafuta tu ' Ubaya ' Mkuu? Shauri yako na hapa JamiiForums wapo wengi tu hivyo ' utawakoma ' na anza Kujiandaa ' Kisaikolojia ' kwani najua hawatakuacha hivi hivi.
Wapare ni wachumi wa kuzaliwa lakini cha ajabu wanaweza practical tu theory inawatupa chini. Wangepasi theory hazina na benk kuu wangekua ni Mgonja, Mshana, Mziray....
Hahahahahahaha nilijua hili ni la torabora kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona ulitegesha bomu lako jamaa kakanyaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Suub-han-allah!Umetumia nguvu nyingi sana kumjibu huyo mwana mtoka pabaya.