natamani mume wangu anywe pombe

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha

(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
 
Umeshamchoka huyo,wenzako wanaomba hata kazini wasiende sema ndio hivyo tu wakifikilia swala la kutafuta hela ndio wanawaachia,nenda milima ya moto au river of babylon wakuombee umpende mme wako.
 
tatizo ni kuwa hata akiwa hivyo bado hutaridhika! binadamu hatuna jema!
 
Baadae usutuletee post humu oh! Mme wangu mlevi,oh anachelewa kurudi, oh akiruda kachoka hanipi haki yangu shauri ako yanaanzaga hivi hivi
ana shida gani wa hivo mkuu?
 
hakuna binadamu mkamilifu ndugu yangu na kumpata ambaye anasifa unazozitataka ww ni ngumu,maisha ni kuvumiliana
 
kwelii smile mwanaume akitokaa kazini direct homee nomaa..ndo mambo ya wife kukwambie dear nionjee chumviii,mara dear naombaaa nisuuzie hiyo bakuliii,mazoea yakazidi
 

Ni kwamba tu hatukufahamiana mapema, Unafaa kuwa mke wangu maana kila ulichokitaja ndo nikifanyacho
Hv a nice weekend
Lovely......
 
Hapa unajaribu kuelezea utamu wa ngoma wakati bado hujaingia kuicheza! Hebu ingia uicheze afu uje utusimlie khali halisi mpendwa!
 
Tamaa mbaya -- well kwenye kurudi home mapema nakubaliana na wewe 100%, unless kama anapenda movies and mmeweka theater kwa house.
 
Hapa unajaribu kuelezea utamu wa ngoma wakati bado hujaingia kuicheza! Hebu ingia uicheze afu uje utusimlie khali halisi mpendwa!

Wewe umeanza lini kuicheza huo mchiriku au mnanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…