natamani mume wangu anywe pombe



Khaa Smile una mambo! Hayo maombi gani utakayotoa ya kuwafungua watu wakati tamaa zako ni kuwa na mume anayekunywa pombe?
 
kwelii smile mwanaume akitokaa kazini direct homee nomaa..ndo mambo ya wife kukwambie dear nionjee chumviii,mara dear naombaaa nisuuzie hiyo bakuliii,mazoea yakazidi
Mara ohoo kaniombee chumvi kwa mama pili,ndo madharauyanapoanzia humo
thax kwa kunielewa mkuu

 
yaani unatamani mumeo arudi saa kumi nyumbani? aje kufanya nini?

Kuna mambo ya kufanya smile mnakaa pamoja ,kula pamoja ,kubadirisha mawazo kuangalia hatua za watoto pamoja,hata asipopika nitapenda awepo jikoni anaangalia mapishi ya wife heheh tunasaidiana kuonja mchuzi, tunaoga wote kiromantic romantic.Kufanya mambo mengi as a team.ingawa sio kwamba kila siku atakuwa home hiyo mida
Maisha yatakuwa matamu lakini mafupi ooh mama ..
 
Ni kwamba tu hatukufahamiana mapema, Unafaa kuwa mke wangu maana kila ulichokitaja ndo nikifanyacho
Hv a nice weekend
Lovely......
wewe sitokuweza ile idara yako sikujaliwa mchaga mie
 

Jumapili ni siku pekee ya kukaa na familia na kuangalia maendeleo ya watoto
Siku zingine ni Pombe na wanawake
 
aah wapi? hayo yapo tu .ndo mambo ya kuja kusutwa na mumeo.mi sitaki wa hivo.akiwai namrudisha
 
Kitambo sana!.. Ila wangu unanoga asee ndio mana sijaanzisha siredi humu!...

karibu kwenye mchiriku fidel.

Aku mama weweeee mi napenda kucheza kwa nyuma sasa mchiriku mmmh
 
Ntakufunda huko huko hamna kisichowezekana, ila baada ya mfundo huo ujuzi ni wa kunifanyia mie tu...
nimejifunza sana nimeshindwa nataka wa class d mwenzangu
 
Khaa Smile una mambo! Hayo maombi gani utakayotoa ya kuwafungua watu wakati tamaa zako ni kuwa na mume anayekunywa pombe?
mbona mapadre wanakunywa na wanatusamehe dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…