natamani mume wangu anywe pombe

nimejifunza sana nimeshindwa nataka wa class d mwenzangu

Ntaanza na Class D tunaenda tratiibuu unapanda daraja mpaka Class C kavu unasukuma semi na drawbar trailers bila kusahau low loader
 
acha uchoyo na watanzania wenzako wanahitaji huduma hii pia, kizuri kula na rafiki yako.

Teh teh teh ndo maana Smile anapenda mwanaume awe anachelewa kurudi japo na nyie mfaidi ndo hivyo J3-Jmosi ni Pombe na wanawake mie
 
:sleepy::sleepy::sleepy: nashindwa kuwaelewa wadada, ina maana mie kazini naingia saa 1 natoka saa 7, sikufaiiiiiiii?
 
mbona mapadre wanakunywa na wanatusamehe dhambi?

Smile, unafikiri unaweza kumchomoa mtu pepo na pombe zako kichwani? Waweza kumuombea mtu akapona huku unawazi bia? Kumfungua mtu si jambo jepesi, wewe kwa hivi vituko vyako huwezi kabisa binti!
 
Duh mbona sifa zote ninazo !.

 
Hebu nipigishe mswaki wa maskio, hako kapombe unakompendekezea anywe kidogo na kiasi , kanampa faida ipi? Na wewe unanufaika nini na hicho kiasi kidogo cha pombe atakayokunywa ?
 
smile, unafikiri unaweza kumchomoa mtu pepo na pombe zako kichwani? Waweza kumuombea mtu akapona huku unawazi bia? Kumfungua mtu si jambo jepesi, wewe kwa hivi vituko vyako huwezi kabisa binti!
mimi nina upako wewe usipime? Nikisimama tu mapepo yanatimua yote
 
teh teh teh SMILE nime isoma hii...kumbeeee

Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu
 
wewe binti haya unayoomba wenzio tunatamani yawe vice verse :A S-frusty2::wink2:

I think she is dreaming. first lady naomba mumpe ushauri huyu dada naona anataka kujichanganya huyu hajui anachoongea. Kuja saa nne then asiwe na nyumba ndogo ni sawa na kutaka jua lichomoze saa nne usiku. She cannot avoid na akicheza atafanya blunders ambayo ita mcost
 
mimi nina upako wewe usipime? Nikisimama tu mapepo yanatimua yote


Kama kweli una upako dondosha hii thread, ili JF tutambue kuwa uliingiwa na shetani na kuianzisha ukiwa unconscious! :sleepy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…