natamani mume wangu anywe pombe

teh teh teh smile nime isoma hii...kumbeeee

ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu
ahahaa sijui wewe utakuwaje wallah?
 
tena akirudi mapema namrudisha
 
hebu nipigishe mswaki wa maskio, hako kapombe unakompendekezea anywe kidogo na kiasi , kanampa faida ipi? Na wewe unanufaika nini na hicho kiasi kidogo cha pombe atakayokunywa ?
basi tu ndo flavour yangu
 
mimi nina upako wewe usipime? Nikisimama tu mapepo yanatimua yote

Watu wenye upako siyo wepesi wa kuongea maneno unayosema kwani wanajua kabisa maneno huumba na huepuka vitu ambavyo vita wa cost. may be wewe ni mnywaji na unataka kujustfy kwa kumtaka mume anayekunywa. NAKUSHAURI USIJARIBU UTALIA MAISHA YAKO YOOOTE YA NDOA. Nina mafano zaidi ya kumi na hapa nilipo sinywi na ninaishi comfortable na narudi nyumbani mapema na mke wangu yuko very happy about me na watoto wakiona saa moja imefika na dad sijafika home hunipigia kutaka kujua nini kimenipata mpaka saa hizo. hayo ndiyo maisha na siyo vurugu unazotaka kujiletea mwenyewe UTAJUTA!!!!!!!!!!!!!
 
mimi sinywi hata soda.
Lakini napenda sana wanaume wanaokunywa kwanza ni wajanja ,wanajua kutafuta hela,pia si washarishari
 
sitaman mwanaume wa hivi hata chembe

NATAMAN KWAYA MASTA
 
sitaman mwanaume wa hivi hata chembe

nataman kwaya masta
huyo kwaya masta wako huyo sijui anakufundisha nyimbo gani? Nikuulize kitu my twin?
 
Mimi nikirudi mapema watoto wangu wanachukia,wanasema Dad akirudi mapema anapenda kuangalia BBC,Aljazeera,Sky News wakati wao wanataka kuangalia katuni ha ha ha ha.

 

Mambo vp mamito,
Mungu wetu ni mwema atakujibu maombi yako,
Love u sana,
Wiki end njema aiseee!
 
Haki ya nani kama kuna mtu unakwenda kumuombea kwa stahili hii,badala ya kufunguliwa ndio kwanza mapepo yatahamia na kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…