natamani mume wangu anywe pombe

Hapa mtaani kwetu kuna jamaa ana sifa zote ulizotaja kwa hiyo anamsumbua sana mke wake, na mke wake hapendi hizo tabia. Sasa kama kungekuwa na uwezekano wa kubadilishana ingekuwa poa sana...
 

u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????
 
 
haki ya nani kama kuna mtu unakwenda kumuombea kwa stahili hii,badala ya kufunguliwa ndio kwanza mapepo yatahamia na kwako!
uje nikuombee nimeonyeonyeshwa una pepo la madeni na hofu.ila nakutabiria mwaka huu madeni yako yote yatakwisha
 
Tafuta kanisa linalohubiri wokovu uokoke haraka kabla mabaya hayajafika
 
Ndio sasa hivi naamini kuwa mwanamke hajui anachotafuta.
 
 
Mimi nikirudi mapema watoto wangu wanachukia,wanasema Dad akirudi mapema anapenda kuangalia BBC,Aljazeera,Sky News wakati wao wanataka kuangalia katuni ha ha ha ha.
jiwekee tv nyingine chumbani. mimi ndio nimeshawapatia na wanatamani mmuda wote niwe home kwani hakuna anayemdisturb mwenzake
 
Wewe uinaonekana huja2lia,
Kwa hiyo unaona akiwahi kurudi home anakubania
Pia inawezekana unampa dozi kubwa inayomfanya ajisikie kuwa pemben yako muda wote.

Tehe tehe teheeeeeeee











 
anachelewa kurudi baadaye unakuja kugundua ana nyumba ndogo & bahati mbaya she is a HE ...
 
mie naona point ya kuja home sa nne usiku hapana nisije kufa bure na bp mana moyo wangu mwepesi sana kuumia ......aje tu mana sitammenyesha vitunguu wala kumpa kazi bali aje tu awe hapo home ..........bora awe home acheze game kuliko kua huko mitaani naweza hata kujikata wakati napika koz nitakua nawaza mengi sana.....
 
Ahaa...! Kumbe sababu zako ni hizi...!? (1)Unapenda achelewe kurudi mpaka saa nne usiku ili uwe na muda wa kutosha kwenda kupigisha n'nje. (2)Akirudi nyumbani kapombeka, lazima atakuwa na usingizi mzito. Ikiwa hivyo unamsachi mifukoni na kuondokomba chenji iliyobakia. We bibie unatisha...!
 
mi natamani wale wanaofaya kazi huko mbali na mimi awe anakuja wiki end tu basi
 
Swali langu hujajibu bidada !
Au unachagua lipi la kujibu ? Na lipi si la kujibu ?
 

Hapo umechemsha, mbona saa nne mapema sana, ungesema asirudi mpaka saa saba usiku, hapo ningeelewa.
 
Mwanamke anae taka haya ni hatari na kumwogopa kama ukoma hafai kuwa wife

Wanawake kama wanaitwa JEZEBEL.
Jezebel alikuwa mke wa Ahab,mfalme wa Israel,...
Na jezebel kaongelewa sana katika Ufunuo2:18-19 kuhusiana na kanisa la Thyatira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…