natamani mume wangu anywe pombe

Wanawake kama wanaitwa JEZEBEL.
Jezebel alikuwa mke wa Ahab,mfalme wa Israel,...
Na jezebel kaongelewa sana katika Ufunuo2:18-19 kuhusiana na kanisa la Thyatira.

Hii flash back ya bible imenitoa uchozi nimemsahau Mungu kwa kipindi kirefu sana
 
kwa hii post hapa juu nimeahirisha kutangulia, nisije nikaambiwa nakomaa hadi kwenye chit chat:wink2:

ha ha, tangulia wewe
naogopa nisije pata wa kurudi usiku kwa makusudi lol
 
Smile hii wish yako inafaa kuwa movie idea.
Mungu akishakupatia hiyo sampuli unayotaka usiache kuja kutushuhudia jinsi unavyofaidi ndoa.
 
hata mbuyu ulianza kama mchicha we tamani akiwa chapombe tusikuone humu kutaka ushauri
 
uje nikuombee nimeonyeonyeshwa una pepo la madeni na hofu.ila nakutabiria mwaka huu madeni yako yote yatakwisha
Ha ha haaa! utafikiri kweli. Nikiombewa na wewe ndo ntakuwa mlevi zaidi na shida zitaongezeka!
 

What a good contradiction of things?
 

Kuna usemi kwamba "mdomo huwa unaumba".

Natamani hayo uliyoandika hapa yawe hayajatoka kinywani mwako maana yatakapoumbika utamchukia mumeo!!!!!!
 
Smile hii wish yako inafaa kuwa movie idea.
Mungu akishakupatia hiyo sampuli unayotaka usiache kuja kutushuhudia jinsi unavyofaidi ndoa.
Saakumi mwanaume yupo nyumbani si ndo ataanza kuoga na housegirl
 
watu wa kweli uwa hawapendwi... umeongea ukweli wako.. ila hapa naona wanaponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…