Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntaolewa ndio na wa sifa hizo ndo nizitakazo
Wanawake kama wanaitwa JEZEBEL.
Jezebel alikuwa mke wa Ahab,mfalme wa Israel,...
Na jezebel kaongelewa sana katika Ufunuo2:18-19 kuhusiana na kanisa la Thyatira.
kwa hii post hapa juu nimeahirisha kutangulia, nisije nikaambiwa nakomaa hadi kwenye chit chat:wink2:u guys don't ever dream of being fair to womens, angalia walivyo na ukurutu mwingi kichwani.... ukikakaa bila kuwa na scandal za ngono mtaani, hajawahi kukukamate ugoni au kasikia unagombaniwa mtaani na machangudoa ataanza wa nini mimi huyu ambaye no body is interested with him????
ha ha, tangulia wewe
naogopa nisije pata wa kurudi usiku kwa makusudi lol
Mambo bht...
poa poa kiongozi, upo?
Naona uko "paradise" nitakupata pataje?njoo njoo
njoo njoo
Ha ha haaa! utafikiri kweli. Nikiombewa na wewe ndo ntakuwa mlevi zaidi na shida zitaongezeka!uje nikuombee nimeonyeonyeshwa una pepo la madeni na hofu.ila nakutabiria mwaka huu madeni yako yote yatakwisha
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members