natamani mume wangu anywe pombe

sijashangaa baada ya kugundua kuwa ni words from un-experienced woman on marriage matters:A S 13:
 
Dah! Simtamani mwanaume mnywa pombe hata kidogo. Arudi domo linanuka si nitatapika wakati wa kudendeka!!
 
Saakumi mwanaume yupo nyumbani si ndo ataanza kuoga na housegirl

kama anataka kuoga na housegirl ataoga naye tu hutaweza kuzuia,sipati picha ukute mwenzio anakupenda anajitahidi kurudi home ili awe nawe hlf wewe unamtimua eti usiwe unarudi nyumbani mapema,rudi kakae bar na wanaume wenzio upate maujanja ya maisha.Smile mpendwa wangu tumeambiwa omben lolote mtakalo nami nitawapa,ukiomba haya utapewa lkn kabla ya kuomba aina hii ya mume ningekushauri uombe kwanza kuoneshwa kama unachokihitaji ni kitu kizuri kwako.kila la kheri.
 
Una matatizo na hujui unajosema, sidhani kama huo mme unaye kweli, maana hujui thamani Yake hata Kidogo.


 
nyie viumbe ni vigeugeu jaman..., ukitaka sifa hzo, ataongeza kidogo kila kitu, atakuja saa 5, ataanza kulewa kidogo....nk. baadae ugomvi. (red and bolded imenikumbusha movie ya TOO SAVED)
 
Tamani mume wako aonje pombe utakiona cha mtema kuni,au utakiona kilicho mtoa nyoka miguu.
 
nyie viumbe ni vigeugeu jaman..., ukitaka sifa hzo, ataongeza kidogo kila kitu, atakuja saa 5, ataanza kulewa kidogo....nk. baadae ugomvi. (red and bolded imenikumbusha movie ya TOO SAVED)

Usiwe na wasi wasi wenye akili kuanzia saa 3 mpaka saa 4 wapo home wanamburudisha mke...
 
thax for advice my dia
 
Hii flash back ya bible imenitoa uchozi nimemsahau Mungu kwa kipindi kirefu sana

Hauja chelewa Fidel,anza sasa,kuna raha sana kulijua neno la Mungu.
Kwanza unajua waongo ni wapi,manabii wa uongo hawata kupata,
mafundisho ya kina Jazebel kama haya ya Smile hayata kupata,
na zaidi ya yote ni Uzima.
 
Ulevi wa misifa huu. Kama huna cha kupost wandugu si ukae kimya! Kwani kuna ulazima wa kupost thread ambazo hazina kichwa wala miguu?


Samahani, ni mtazamo

tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…