Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Simtamani mwanaume mnywa pombe hata kidogo. Arudi domo linanuka si nitatapika wakati wa kudendeka!!
Mwajuma acha urongo!
Saakumi mwanaume yupo nyumbani si ndo ataanza kuoga na housegirl
You need some intercessory prayer!
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
ndo mapenzi yake Ngabu...
nyie viumbe ni vigeugeu jaman..., ukitaka sifa hzo, ataongeza kidogo kila kitu, atakuja saa 5, ataanza kulewa kidogo....nk. baadae ugomvi. (red and bolded imenikumbusha movie ya TOO SAVED)a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
nyie viumbe ni vigeugeu jaman..., ukitaka sifa hzo, ataongeza kidogo kila kitu, atakuja saa 5, ataanza kulewa kidogo....nk. baadae ugomvi. (red and bolded imenikumbusha movie ya TOO SAVED)
Tamani mume wako aonje pombe utakiona cha mtema kuni,au utakiona kilicho mtoa nyoka miguu.
thax for advice my diakama anataka kuoga na housegirl ataoga naye tu hutaweza kuzuia,sipati picha ukute mwenzio anakupenda anajitahidi kurudi home ili awe nawe hlf wewe unamtimua eti usiwe unarudi nyumbani mapema,rudi kakae bar na wanaume wenzio upate maujanja ya maisha.smile mpendwa wangu tumeambiwa omben lolote mtakalo nami nitawapa,ukiomba haya utapewa lkn kabla ya kuomba aina hii ya mume ningekushauri uombe kwanza kuoneshwa kama unachokihitaji ni kitu kizuri kwako.kila la kheri.
Hii flash back ya bible imenitoa uchozi nimemsahau Mungu kwa kipindi kirefu sana
Dah! Simtamani mwanaume mnywa pombe hata kidogo. Arudi domo linanuka si nitatapika wakati wa kudendeka!!
Jumapili ni siku pekee ya kukaa na familia na kuangalia maendeleo ya watoto
Siku zingine ni Pombe na wanawake
Kweli kabisa.Mipombe huwa inanuka sana mdomoni unaweza tapika.