Binadamu hatutabiriki mkuu tupo kama vinyonga japo kunadilika kwa kinyonga kunaonekana. Tofauti ya kubadilia kwa bianadium na kinyonga ni ubadiliko wa binadamu hauonekani. Mioyoo ndio inajuaaa na ndio maana kuna matukio mengi sana yanayoendana kinyume na ubinadamu tunaosema.Mkuu huu mkasa hauwezi kuuweka katika matamanio na si jambo la kuombea likukute kwani hata Uli mwenyewe hawakukaa meza moja na watesi wake kunegotiate kichapo-madhila-compansetion...
Ndo maana tunahoji why awe kimya??? Alihongwa ama?
Shida kuu inakuja pale mamlaka inapoyachukulia matukio mazito kama haya kirahisi rahisi tu bila karipio na initiatives zozote kuzuia yasiendelee...Binadamu hatutabiriki mkuu tupo kama vinyonga japo kunadilika kwa kinyonga kunaonekana. Tofauti ya kubadilia kwa bianadium na kinyonga ni ubadiliko wa binadamu hauonekani. Mioyoo ndio inajuaaa na ndio maana kuna matukio mengi sana yanayoendana kinyume na ubinadamu tunaosema.
Ni kweli. Mamlaka zinafanya hvyoo ili ziendelee kuwepo kwenye mamlaka, binadamu hao hao ndio we ye mamlaka hvyo siwezi kushangaa. Ndio maana watu wenye mamlaka huwa wana sura mbili hasa wanasiasa,sio wa kuamini.Shida kuu inakuja pale mamlaka inapoyachukulia matukio mazito kama haya kirahisi rahisi tu bila karipio na initiatives zozote kuzuia yasiendelee...
Bado tuna maumivu ya Kibanda, Mwangosi, mauaji ya kinyama ya vikongwe&albino bila kusahau matukio ya vifo vya kikatili vya hivi karibuni... bado serikali ipo kimya tu na mwisho wa siku raia wanazoea na kuona ya kawaida tu...
heshima yako FF. Kwel elim yang mwendo kas. ILA nampango WA kurud shulen. Nakhakikishia baada ya miaka Saba nitapiga nondo za hatariHata kuandika kwenyewe matatizo.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
siwez kumweka waz nawahofia akina Rama wee na jamaa anavyominya na plaisiHuyo Uli ndio nani na Mwakingwe wengine tumebaki njia pabda