El'son
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 380
- 324
Binadamu hatutabiriki mkuu tupo kama vinyonga japo kunadilika kwa kinyonga kunaonekana. Tofauti ya kubadilia kwa bianadium na kinyonga ni ubadiliko wa binadamu hauonekani. Mioyoo ndio inajuaaa na ndio maana kuna matukio mengi sana yanayoendana kinyume na ubinadamu tunaosema.Mkuu huu mkasa hauwezi kuuweka katika matamanio na si jambo la kuombea likukute kwani hata Uli mwenyewe hawakukaa meza moja na watesi wake kunegotiate kichapo-madhila-compansetion...
Ndo maana tunahoji why awe kimya??? Alihongwa ama?