Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga,

Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha,

Hii imekaaje wadau...

seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
 
Kwa namna samaki wanavyozaliana chumbani hakukufai tafuta eneo nje kwaajili ya supply ya 02 then unajua harufu inayotolewa na mabaki ya chakula hapo usisahau samaki hujamba pia unaweza tolleret hy hali chumbani?
 
Back
Top Bottom