Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

Tatito chakula cha samaki hakuna vipimo vidogo vidogo km vile sukari mfuko wa chakula ni ikg 50.
 
Fanyia kazi wazo lako hapa tunakucheka ila kama uko siriaz baadae rudi kutupruvu wrong,ww ndio unaujua ukubwa wa chumba,mzunguko wa hewa n.k.
Wakenya mageto yao yanakuaga multipapas 😂😂😂😂.
 
Fanyia kazi wazo lako hapa tunakucheka ila kama uko siriaz baadae rudi kutupruvu wrong,ww ndio unaujua ukubwa wa chumba,mzunguko wa hewa n.k.
Wakenya mageto yao yanakuaga multipapas 😂😂😂😂.
'kama uko siriaz' hivi ni maeneo gani hayo
 
Subiri utabili wa weather conditions kama mvua zitaongezeka ufuge sato
 
Bila Shaka hamjamuelewa mleta Mada...yeye anafuga wale samaki wa mapambo...aquarium moja kwisha habari anaisimamisha kwa meza
 
Akili za vijana wanaolalamika ajira hakuna na wanatarajia waaminiwe waongoze sekta fulani
 
Ni samaki wa kula au mapambo. Kama ni wa kula basi hakikisha chumba chako kina uweze wa kupitisha mwanga wa jua wa kutosha kutokea juu ya paa
 
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga,

Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha,

Hii imekaaje wadau...

seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
Lima kabisa iwe greenhouse kachukue Ushauri zaidi Kwa dula wa TikTok
 
Back
Top Bottom