Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

Kwa namna samaki wanavyozaliana chumbani hakukufai tafuta eneo nje kwaajili ya supply ya 02 then unajua harufu inayotolewa na mabaki ya chakula hapo usisahau samaki hujamba pia unaweza tolleret hy hali chumbani?
kama usafi muhimu, nyumba feni itakuepo kufukuzia harufu
 
🤣🤣🤣
Habari JF,

Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga,

Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha,

Hii imekaaje wadau...

seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
 
Vipi kina sehemu ya Sweeming pool (Bwawa) ..tuanzie hapo kwanza...😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…